Echolima1
JF-Expert Member
- Nov 2, 2019
- 9,662
- 8,023
ALJEZEERA hawezi kunyesha video zenye mitaa kama hii. Ataonyesha magofu,maiti,wamama,ajuza na mahameHamas huko Gaza wanaendelea kupata kichapo cha mbwa-koko baada ya Jeshi la anga la Israel kuyashambulia maficho yao. Inasemekana magaidi wote waliokuwa wamejichimbie eneo hilo hat uko nao wameangamizwa!!!
hivi wale Hamas waliovaa kombati zao na silaha mikononi kuonyesha Dunia wapo vizuri Leo wako wapi kupigana jeshi la Israel ?Hamas huko Gaza wanaendelea kupata kichapo cha mbwa-koko baada ya Jeshi la anga la Israel kuyashambulia maficho yao. Inasemekana magaidi wote waliokuwa wamejichimbie eneo hilo hat uko nao wameangamizwa!!!
Walikuwa wanakusanya ma bodybuilder mtaani wanawavisha combat wanadai ni wanamgambo .hivi wale Hamas waliovaa kombati zao na silaha mikononi kuonyesha Dunia wapo vizuri Leo wako wapi kupigana jeshi la Israel ?
Hawataki amani hata Mungu hawezi kuwasaidia maana sharti ukiri kwa kinywa chako mwenyewe.Eek Mungu Baba. Naomba aman kwa hawa watu wote.
Magaidi hao hawaelewi na wala hakuna Neno Busara kwenye msamiati wao. Hivyo ukase a wewe tumie busara wao wanakufanya mbaya!! Tuiache Israel ifanye kazi kuwarudisha mateka waliotekwa kwa mwaka sasa imekuwa ikitumia hiyo BUSARA lakini hakuna matunda waache tu washushe kipigo mpaka hapo watakapowaachia mateka!!Dah vita mbaya. Imeniuma kuwaona hao Vijaya wadogo kwenye video ya pili wakikimbia Kwa hofu. Tunaipenda Israel na haki Yake ya kujilinda ila busara inatakiwa Sana.
Nyau de adriz
Mimi ndio naomba usiwe msemaji wa MunguHawataki amani hata Mungu hawezi kuwasaidia maana sharti ukiri kwa kinywa chako mwenyewe.
Sio mimi bali yeye kasema.Mimi ndio naomba usiwe msemaji wa Mungu
Kasema wapiSio mimi bali yeye kasema.
Kasema wapi
Unamwomba asiyejibu?Eek Mungu Baba. Naomba aman kwa hawa watu wote.
Unamjua ninaemuamin chiefUnamwomba asiyejibu?