Hamas wapigana kiume Gaza nzima. Warusha makombora ndani ya Israel. Yafukuzana na IDF na kuwaua kadhaa

Hamas wanawasababishia wapalestina mateso makubwa na gaza imeharibika na wanaendelea kuirushia israel maroketi na israrl ndio anazidi kuichakaza gaza
Baada ya dhiki ni faraja.hayo mateso ni ya muda tu.
 
Hao Wahouthi wa Yemen wanafunga Bahari yanini ndio wanaotuongezea bei za bidhaa kwasababu meli zinazokuja Afrika Mashariki zinabidi kuzungukia Cape Town.
 
Wapewe Pole magaid wa kiisrael.
 
Kiume ndio nini?
 
Hii ngoma bado mbichi Iran ndio anawahenyesha hapo middle east yeye anadhani Gaza ndio tatizo unless taifa la Iran lifutike ndio atapata aman vinginevyo zayuni hatoboi
 
Hii ngoma bado mbichi Iran ndio anawahenyesha hapo middle east yeye anadhani Gaza ndio tatizo unless taifa la Iran lifutike ndio atapata aman vinginevyo zayuni hatoboi
Ndio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…