Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 8,870
- 14,258
Wasomi mbali mbali kwenye vyuo vikuu kote ulimwenguni wameonekana kutorudishwa nyuma na propaganda za Israel katika kuwaunga mkono wanamgambo wa Hamas na jumuiya ya wapalestina kwa jumla.Hali hiyo imeonekana Marekani,China mpaka Japan.
Huko Uiengereza na Ufaransa kumekuwa na kishindo kikubwa cha uungaji mkono huo kiasi kwamba wizara za mambo ya ndani ya nchi hizo zimetishia kuwafukuza wote wale wanaoonesha hisia hizo ambao ama ni wanagunzi au wanaoishi kwa viza za aina tofauti.Hata hivyo idadi ya wanaoiunga mkono Hamas na kutaja madhila ya Palestina wako ambao wala si wageni wa nchi hizo.
Nionavyo mimi huwezi kuzuia maji ya mbua yasifuate mkondo wake kuelekea baharini.