HAMAS wayakataa mapumziko uchwara ya vita, Ramadhani

brazaj

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2016
Posts
31,698
Reaction score
41,733
1. Kwamba Israel na Marekani walihitaji mapumziko uchwara ya wiki 6 kurejelewa vita baada ya Ramadhani.

2. Kwamba katika kipindi hicho waachiliwe mateka wao wote nao wataachia mamia ya wafungwa.



Mpango gani huo?

Truce maana yake vita kusimama, Israel kuondoka Gaza, kuwajibishwa kwa mvamizi na hatua thabiti kuchukuliwa sasa kuhikikisha uchokozi kama huu unakoma milele:

Two states solution.
 
Hamas ni kisiki kwa Israel
Katikati ya kifo si wa kuwakokota
 
waliokufa 27k bado mnataka wamalize palestina nzima muingie kwene Palestina holocaust.

Usichezee watu waliosavive genocide wanahasira ukiua mmoja wao wataua 1000
 

Msilalamike tu.
 
Viongozi wa hamas wanakataa mapumziko huko wao wamejificha lebanon, Qatar, syria wapalestina wanaendelea kukaangwa na mabomu ya israel
 
Kichapo kinaendelea na hakuna kipya Hamas watapata. So sad ujinga ujinga
 
waliokufa 27k bado mnataka wamalize palestina nzima muingie kwene Palestina holocaust.

Usichezee watu waliosavive genocide wanahasira ukiua mmoja wao wataua 1000

1. Waliokufa ni zaidi ya 31k kinachoendelea ni genocide ndiyo maana bazazi kaburuzwa ICJ.

2. Anayeuwa anataka mapumziko ya wiki 6 apewe mateka wake wote kwanza Ili aendelee baada ya hapo.

3. Ungekuwa wewe ungekubaliana naye Hilo?

4. Kumbuka hamas kama maji maji, Mai mau au mapinduzi matukufu ya Zanzibar wako kwenye ukombozi wa nchi yao.

5. Kwa mawazo kama yako ukoloni ungali kuwapo bado Tanzania.
 
Msilalamike tu.

Kulalamika kuwa Israel ni mvamizi mwenye kuikalia Gaza kinyume cha sheria za kimataifa kutaendelea hadi ukombozi kamili utakapopatikana:

Two states solution.
 
WAPUUZI wakubwa. Raia wa Gaza wanateketea. Wao hamas wapo mafichoni. Msemaji wa hamas anatoa matamko akiwa Lebanon. Ni upuuzi mkubwa.
Kwa mawazo kama yako Tanzania ingekuwa ingali koloni.

Nini tofauti ya maji maji, mau mau au yale mapinduzi matakatifu ya Zanzibar na harakati za Palestina tangia 1947 huko?
 
Wale masheikh akina Mwaipopo wana undugu na DP WORLD?jitihada zao zilikuwa ni athari za kikoloni na utumwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…