- Thread starter
- #61
Amejibu kisiasa; waislamu wenzenu wa Uighur waulizeni China inawafanya nini. Kwa kuona kuwa tatizo ni Quran yenu, waislam wa huko hukusanywa na kupelekwa rehabilitation kusafisha ubongo wao na mafundisho ya kishetani
".. waislam wenzenu .." ??!!
Unausoma wapi uislamu huo kiasi cha kuandika hivyo?
Nitakuwa na tofauti gani nawe nikikuita mmkonde, mrundi au mmasai?
Bure kabisa!