HAMAS wayakataa mapumziko uchwara ya vita, Ramadhani

Nyie Waislam mlifikiri msoshalisti wenu Biden atawatisha Israel wasiendelee kuwapa kichapo! Mmenoa; kichapo kipo pale pale hata wakati wa mfungo wenu wa Kishetani

View: https://x.com/Avi_Abelow/status/1765515690058895735?s=20
 
ya kugharamikia vita ya kupigana Israeli anapigana moden war .. tofouti na hamasi ... kwa siku matumizi ya vita ni dolla mi 50

Mbaya zaidi vita hii si halali na waziri Mkuu kuko isolated akiungwa mkono na watanzania na wakenya uchwara aina ya kina Mzee Kigogo, MK254 na wenzao.

waliokufa 27k bado mnataka wamalize palestina nzima muingie kwene Palestina holocaust.

Usichezee watu waliosavive genocide wanahasira ukiua mmoja wao wataua 1000
Mpaka sasa 38700+ zaidi ya 2% ya population ya gaza majeruhi ni 79000+ mtu bado anabwabwaja humu. Kwa siku wanakufa watu zaidi ya 100 israel akanyage twende
 
waliokufa 27k bado mnataka wamalize palestina nzima muingie kwene Palestina holocaust.

Usichezee watu waliosavive genocide wanahasira ukiua mmoja wao wataua 1000
Kuuwa watoto na wagonjwa kupiga mabomu majengo ndiyo vita? Wqpalwstina wamezaliwa kwenye viwanja vya vita hayo maisha kwa ni kawaida wewe ndiyo unaogopa upo Kinara temboni.
 
Kuuwa watoto na wagonjwa kupiga mabomu majengo ndiyo vita? Wqpalwstina wamezaliwa kwenye viwanja vya vita hayo maisha kwa ni kawaida wewe ndiyo unaogopa upo Kinara temboni.
Wangekua wamezoea wangekaa kimya kila siku kulia kwene mitandao, kuandamana

wanaandamana nini? mbona israel hawakuandamana wala kulia lia kila siku.

we na ufala wako ndo unahubiriwa wamezoea ili waendeleze juhudi za kupigana na israel lakini si kweli .Wengi wenye uwezo wamekimbia nchi
 
Kumbe huyu anafamua nini au nani kamwita?

NAni kamwambia anataka pause ya Ramadhani?
 
Mpaka sasa 38700+ zaidi ya 2% ya population ya gaza majeruhi ni 79000+ mtu bado anabwabwaja humu. Kwa siku wanakufa watu zaidi ya 100 israel akanyage twende

Mada umeiona? Jiridhishe Uko Kwenye mada.

Kubwabwaja, una bwabwaja wewe:

"HAMAS wayakataa mapumziko uchwara ya vita, Ramadhani"​

Ninachokiona Hamas wanategemea sana sana kelele za walimwengu anazopigiwa Israel, ila baada ya tarehe 10 tutashudia umwagaji mkubwa wa damu , na kelele nyingi za kimataif kwa Israel. Wakati mnamuona hamas shujaa kwa kukataa kusitisha vita , mtakuja hapa mnalalamika juu vifo vya wanawaweke na watoto, huku mkijua vita yeyote wanaoathitika ni watoto na wanawake kwa wingi. Yangu masikio.
 
mimi km team Hamas naunga mkono swala la kutosimamisha vita kwa mda...kama si parmanent basi kipigwe tu mpk pomoni,kwani wao si ndo taifa teuli wanaogopa nn
 
1. Usichokiona ni kuwa kwanini kelele za walimwengu ni nyingi dhidi ya Israel:

2. Unaelewa maana ya disgrace?

3. Kwa maana kuna jambazi hapo lisilostahili kufumbiwa macho na jamii iliyostaarabika!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…