Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 8,870
- 14,258
Nchi kumi na nane zimejaribu kuwalaghai viongozi wa Hamas kwamba waachie mateka wote ilionao.
Hata hivyo nchi hizo zimekutana na kigingi kutoka viongozi hao wakisema ili mateka hao waachiliwe ni lazima kwanza vita visimame na Israel iondoke Gaza sambamba na watu kuruhusiwa kurudi majumbani kwao.
Nchi hizo kwa mara nyengine zimejisahau kwa kujaribu kuwatisha Hamas bila kuikemea Israel kuiambia iache unyama wake.