HAMAS wazidisha mateso kwa Wapalestina, wabadilisha mapendekezo na kuongeza visivyotekelezeka

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Mpaka sasa hivi namba za Wapelestina waliouawa zinakaribia 40,000 na bado wanauawa kila siku, ilhali wanaosababisha yote hayo bado wameshupaza shingo, wameshikilia mateka watoto wa Wayahudi huku wakiendelea kuongeza masharti na pia wenyewe kuuawa.
Gaza yote imefanywa shamba.....na bado panapigwa, hata hao wananchi siku watarudi sijui wataanzia wapi maana pia mataifa ya waarabu yamewatelekeza, pia allah ambaye huwatuma kufanya maugaidi wao amewakimbia.
=============================

DOHA/GENEVA/CAIRO, June 12 (Reuters) - U.S. Secretary of State Antony Blinken said on Wednesday that Hamas had proposed numerous changes, some unworkable, to a U.S.-backed proposal for a ceasefire with Israel in Gaza, but that mediators were determined to close the gaps.

Dah wapalestina na waislam wanadai eti Israel inasaidiwa na Marekani. Wakati wenyewe wanatamba tuna Allah. Sasa huyo Allah muweza wa yote mmoja hana mshirika mbona sasa hawasaidii kala kona na kuchikichia chaka?

Anachojua tu ni kiarabu.

Israel don't sort them just kill them all.

NO MERCY!

adriz Adiosamigo ITR Malaria 2 Ritz Jagina incharge green rajab Mamlukii
 
Masharti waliyotoa HAMAS ni pamoja na Mayahudi kutoa majeshi yote GAZA siku ya kwanza tu ya makubaliano na pia siku hiyo hiyo waache kabisa vita na wao HAMAS wataanza kuwapa Mayahudi miili ya mateka waliokufa then wale wengine.Hapo Mmarekani kageuka Myahudi yeye ndo anaanza kupinga ! Wasiwasi wa HAMAS hayo makubaliano ni danganya toto ili waachie mateka ! Wakisha achia tu mateka Myahudi anarudi tena ! Hicho ndo HAMAS wana wasiwasi huo na wametaka guarantee toka Urusi China na Turkey iwapo wataachia mateka MAYAHUDI wasije rudi tena
 
HAMAS na wapelwstina wamefungwa mikono hawana silaha wanapigana na watu ambao kila siku wanapewa sllaha mpya zikiwemo ndege magari mabomu na risasi.
Hebu wote wapewe vitu hivo yaani kwa usawa halafu tuone Myahadi kama atasimama !
Mnaandika ujinga na upumbavu. Wewe umeshika bunduki mapanga na kila zana eti unaenda kupigana na mtu mwenye mikono mitupu ! Hiyo ni akili kweli ??
Wapeni silaha za kisasa HAMAS halafu ndo mseme upuuzi wenu
 
Niwakumbushe ambao hamfahamu.HAMAS wanapigania uhuru toka kwa wakoloni ambao ni MAYAHUDI.MAYAHUDI wamekalia eneo la Wapelestina toka 1967 wamewazingira wapalestina ili utoke au uingie lanima Myahudi ndo akubali.Wananyanyaswa kwa miaka mingi ardhi yao imetekwa na masetla wa kiyahudi ndo wanafanya shughuli za kiuchumi kwenye eneo la wapelestina na wapelestina wenyewe wamebaki kuwa vibarua katika ardhi yao . kila siku Myahudi anaweka na kujenga makazi yakekatika eneo la wapelestina , hawawezi kufanya chochote hapo ndipo HAMAS kajiandaa kupigana uhuru wao kwa sababu kwa mika mingi siasa imeshindwa kuwapa uhuru wao laniki sasa watapewa ! Kila taifa sasa limeamka linataka wapelestina wapewe nchi yao bila vikwazo vyovyote.Unadhani bila kujitoa mhanga hichi kitu kingewezekana ?? Hebu niambieni ni nchi gani Africa ambayo haikupigania uhuru wake na kumwaga damu ? Kenya kuna vita ya Mauamau, Hapa Tanganyika kina chief mkwawa Tabora kulikuwa na Mtemi Mirambo n.k.Lakini uhuru mara nyingi hauwezi kuja bila kumwaga damu.Hiyo damu ya wapelestina waliopotea haitoenda bure inakuja na matokeo chanya.Hatimae Palestina inaenda kuwa huru !
 
Zaidi ya kuwafuta wayahudi kwenye hii dunia, Hamas hataki kusikia chochote, ni wauaji sio wapigania uhuru
 
Mayahudi wanadai wana uwezo wa kuifuta Hamas na Palestina yao sasa si waifute tu ili Israel waishi kwa amani kama wanafikiri wanakosa kuishi kwa amani kwa sababu ya Hamas na Palestina kuliko kuangaika na mazungumzo? Watu wanasaidiwa na mataifa yote yaliyoendelea lakini wanashindwa kupambana na watu wanaopigana kwa mawe na manati! Sasa huo uteule wao upo wapi?
 
HAMAS ni wapigania uhuru ! Wewe na hao Mayahudi ndo mnawaita magaidi.
Wapeni uhuru na silaha kama zenu then tuone sasa kati ya Mayahudi na Wapelestina nani zaidi ???
Mnapigana na watu amabao hawana silaha na mnawashindwa ! Je wakipewa , mtasimama kweli ???
 
Waarabu waliivamia Spain wakatolewa na hapo Israel wanatolewa mdogo mdogo.
 
HAMAS na wapelwstina wamefungwa mikono hawana silaha wanapigana na watu ambao kila siku wanapewa sllaha mpya zikiwemo ndege magari mabomu na risasi.
Hebu wote wapewe vitu hivo yaani kwa usawa halafu tuone Myahadi kama atasimama !
Mnaandika ujinga na upumbavu. Wewe umeshika bunduki mapanga na kila zana eti unaenda kupigana na mtu mwenye mikono mitupu ! Hiyo ni akili kweli ??
Wapeni silaha za kisasa HAMAS halafu ndo mseme upuuzi wenu
Nani ambae kawafunga mikono bwana mdogo????? kama walikuwa wanataka vita na wanajiona wapo sawa si wakae sehem nzuri na waache kutumia raia kama kinga alafu uniambie kama hiyo vita itadumu kama ambavyo kwa sasa inakuwa ngumu
 
Waarabu waliivamia Spain wakatolewa na hapo Israel wanatolewa mdogo mdogo.
WatatolewA WAENDE WAPI? HAPO NI KWAO KAMA WALIVYO WAPALESTINA IWAPO NI WALE WALIOKUWA WANAITWA WAFILIST. WALE WAARABU WALIOENDA KUTAWALA SPAIN WAKIENEZA DINI KWA UPANGA WALIONDOLEWA NA WAKRISTU. SASA HAWA WAPALESTINA WALIWAPIGA LINI WAYAHUDI KURUDISHA NCHI YAO? WALITOKEA WAPI? MAANA WAARABU WENZAO WANAISHI UARABUNI NA WENGINE WALIWAFUKUZA WAAFRIKA WEUSI KUANZIA MISRI, MOROCCO NK WANAISHI HUKO NA WATU WEUSI WACHACHE WALIOBAKI

Waarabu waliivamia Spain wakatolewa na hapo Israel wanatolewa mdogo mdogo.
 
Hamas
HAMAS na wapelwstina wamefungwa mikono hawana silaha wanapigana na watu ambao kila siku wanapewa sllaha mpya zikiwemo ndege magari mabomu na risasi.
Hebu wote wapewe vitu hivo yaani kwa usawa halafu tuone Myahadi kama atasimama !
Mnaandika ujinga na upumbavu. Wewe umeshika bunduki mapanga na kila zana eti unaenda kupigana na mtu mwenye mikono mitupu ! Hiyo ni akili kweli ??
Wapeni silaha za kisasa HAMAS halafu ndo mseme upuuzi wenu
Hamas wana Allah maalim
 
Hamas wanapewa silaha na Iran, wanasaidiwa na Hezbollah, Houth, na lile kundi la Iraq, na allah wanaye pia sasa kwanini hata baaada ya wooote hawa kuwasaidia hamas bado wanashindwa na mayahudi?
 
HAMAS na wapelwstina wamefungwa mikono hawana silaha wanapigana na watu ambao kila siku wanapewa sllaha mpya zikiwemo ndege magari mabomu na risasi.
Hebu wote wapewe vitu hivo yaani kwa usawa halafu tuone Myahadi kama atasimama !
Mnaandika ujinga na upumbavu. Wewe umeshika bunduki mapanga na kila zana eti unaenda kupigana na mtu mwenye mikono mitupu ! Hiyo ni akili kweli ??
Wapeni silaha za kisasa HAMAS halafu ndo mseme upuuzi wenu
Mkuu umeandika kama vile tunazungumzia mchezo wa Yanga vs Simba!

Mambo ya kivita ni kuzidiana mbinu na vifaa pamoja na wanajeshi.

Wanaoshinda vita hukidhi vigezo nilivyokutajia, hasa hivyo viwili, mbinu na vifaa, maana wanajeshi wanaweza wakawa wachache lakini wakashinda kutokana na mbinu na vifaa bora.

Halafu hili janga kalianzisha Hamas wakati madai yake angeliyadai kwenye meza ya mazungumzo kuliko njia hiyo haramu ya umwagaji wa damu.
 
Dah wapalestina na waislam wanadai eti Israel inasaidiwa na Marekani. Wakati wenyewe wanatamba tuna Allah. Sasa huyo Allah muweza wa yote mmoja hana mshirika mbona sasa hawasaidii kala kona na kuchikichia chaka?

Anachojua tu ni kiarabu.

Israel don't sort them just kill them all.

NO MERCY!

adriz Adiosamigo ITR Malaria 2 Ritz Jagina incharge green rajab Mamlukii
Mkitaka kujua hamna akili mngejifunza kwa Yesu ambaye mnasema ni mungu wenu, alipigiliwa msalabani mnavyo dai kafa kwa ajili yenu, hamkuona kwamba mungu wenu alikuwa dhaifu kuliko hata Mungu wa Hamasi.

Yesu alishikwa na wayahudi sijui wanne tu wakampigilia msalabani.

We sa fananisha na Mungu wa waislam ambaye mnasema kaingia mtini hawasaidi Hamasi.

Hamasi kafungiwa border na kakatiwa maji, umeme, chakula, anapigana na Israel, America, UK, France, Germany, Canada, Australia, India, Ethopia, South Korea, Philippines, Morocco, Egypt, Jordan, UAE, Saud Arabia na kuna wale wabongo wasomi wa mifugo na kilimo 😄 na bado Hamasi wamemshindwa sa kama hakuna Allah upande wake, nani yupo hapo upande wa Hamasi.
 
Back
Top Bottom