MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,408
- 50,809
Mpaka sasa hivi namba za Wapelestina waliouawa zinakaribia 40,000 na bado wanauawa kila siku, ilhali wanaosababisha yote hayo bado wameshupaza shingo, wameshikilia mateka watoto wa Wayahudi huku wakiendelea kuongeza masharti na pia wenyewe kuuawa.
Gaza yote imefanywa shamba.....na bado panapigwa, hata hao wananchi siku watarudi sijui wataanzia wapi maana pia mataifa ya waarabu yamewatelekeza, pia allah ambaye huwatuma kufanya maugaidi wao amewakimbia.
=============================
DOHA/GENEVA/CAIRO, June 12 (Reuters) - U.S. Secretary of State Antony Blinken said on Wednesday that Hamas had proposed numerous changes, some unworkable, to a U.S.-backed proposal for a ceasefire with Israel in Gaza, but that mediators were determined to close the gaps.