HAMAS wazidisha mateso kwa Wapalestina, wabadilisha mapendekezo na kuongeza visivyotekelezeka

HAMAS wazidisha mateso kwa Wapalestina, wabadilisha mapendekezo na kuongeza visivyotekelezeka

HAMAS na wapelwstina wamefungwa mikono hawana silaha wanapigana na watu ambao kila siku wanapewa sllaha mpya zikiwemo ndege magari mabomu na risasi.
Hebu wote wapewe vitu hivo yaani kwa usawa halafu tuone Myahadi kama atasimama !
Mnaandika ujinga na upumbavu. Wewe umeshika bunduki mapanga na kila zana eti unaenda kupigana na mtu mwenye mikono mitupu ! Hiyo ni akili kweli ??
Wapeni silaha za kisasa HAMAS halafu ndo mseme upuuzi wenu
Ulitaka nani awape silaha? Walivyoanzisha vita tarehe 07 Oktoba 2023 walikuwa hawajui silaha wangepatia wapi
 
Huyo Allah ni muongo na anajichanganya sana.
Nipe wapi kajichanganya kwa dalili usiniletee ujinga bila evidence.

Mimi nakupa dalili Kwenye bibilia zenu Mungu anasema haikuwahi kutokea binadamu akamuona Mungu akaishi. OK sa watu wangapi wamemuona Yesu, na wameishi na wengine wakampigilia msalabani.
Afu mungu wenu kafaa kwa ajili yenu, ajabu Mungu anakufa? Sa we na wajinga huko kanisani wanasema Yesu kachukua dhambi zenu alijitolea kufa kwa kuchukua dhambi zenu we kwa sasa huna Mungu au vipi 😄

Nikiwambia nyie wakristo akili zenu kama msalaba mnabisha.

Mnasema Yesu yuko mbinguni atarudi lini atarudi? Kwa hio wakristo kwa sasa wote hamna Mungu. Unless uwe una mental problems ndio unaweza kuamini hayo.

Mnasema Yesu alikuwepo kabla ya kila kitu, kwa hio alikuwepo kabla ya Mungu huyu naye mjua mimi na nyie mnamuita Mungu baba, sa kama ana baba vipi mseme alikuwepo kabla ya kila kitu, pia mnasema alikuwepo kabla ya Ibrahim mhhhm na kabla ya mama yake au vipi 😄 vichaa kweli nyie.
 
Nipe wapi kajichanganya kwa dalili usiniletee ujinga bila evidence.
Huyo Allah anayetaka Watu wamuombe na kusali kwa Lugha ya Kiarabu wakati anasema kuwa yeye kaumba Watu wote.

Huo ni uendawazimu.
Bora Mungu wa Kiafrika NGAI ana ambae ni Mungu wa wote.
 
Huyo Allah anayetaka Watu wamuombe na kusali kwa Lugha ya Kiarabu wakati anasema kuwa yeye kaumba Watu wote.

Huo ni uendawazimu.
Bora Mungu wa Kiafrika NGAI ana ambae ni Mungu wa wote.
Mpaka sasa hivi namba za Wapelestina waliouawa zinakaribia 40,000 na bado wanauawa kila siku, ilhali wanaosababisha yote hayo bado wameshupaza shingo, wameshikilia mateka watoto wa Wayahudi huku wakiendelea kuongeza masharti na pia wenyewe kuuawa.
Gaza yote imefanywa shamba.....na bado panapigwa, hata hao wananchi siku watarudi sijui wataanzia wapi maana pia mataifa ya waarabu yamewatelekeza, pia allah ambaye huwatuma kufanya maugaidi wao amewakimbia.
=============================

DOHA/GENEVA/CAIRO, June 12 (Reuters) - U.S. Secretary of State Antony Blinken said on Wednesday that Hamas had proposed numerous changes, some unworkable, to a U.S.-backed proposal for a ceasefire with Israel in Gaza, but that mediators were determined to close the gaps.

HAMAS na wapelwstina wamefungwa mikono hawana silaha wanapigana na watu ambao kila siku wanapewa sllaha mpya zikiwemo ndege magari mabomu na risasi.
Hebu wote wapewe vitu hivo yaani kwa usawa halafu tuone Myahadi kama atasimama !
Mnaandika ujinga na upumbavu. Wewe umeshika bunduki mapanga na kila zana eti unaenda kupigana na mtu mwenye mikono mitupu ! Hiyo ni akili kweli ??
Wapeni silaha za kisasa HAMAS halafu ndo mseme upuuzi wenu
Kwani hamas si wanasaidiwa na Allah, iran nahezbollh na houth
 
Nasema mtume alimnyonya hussein mate unataka nini zaidi leta mkristo ambae ashawahi fanya hivo
Nimlete mimi shoga nitamtoa wapi nimlete kwako? Ukiwataka si huko makanisani wamejaa tele wanabarikiwa na Papa.
 
Nimlete mimi shoga nitamtoa wapi nimlete kwako? Ukiwataka si huko makanisani wamejaa tele wanabarikiwa na Papa.
Ninyi mumekalia Shoga Shoga wakati huyo Shoga kawazidi kila kitu anatengeneza Silaha ana Technology anaminya Button tu Maustazi alfu wanaenda kujipatia Mabikra 72.
 
Huyo Allah anayetaka Watu wamuombe na kusali kwa Lugha ya Kiarabu wakati anasema kuwa yeye kaumba Watu wote.

Huo ni uendawazimu.
Bora Mungu wa Kiafrika NGAI ana ambae ni Mungu wa wote.
Bibi yako aliekufa akiwa sio muislam akiona maandiko haya anatamani akuchape kibao
 
HAMAS na wapelwstina wamefungwa mikono hawana silaha wanapigana na watu ambao kila siku wanapewa sllaha mpya zikiwemo ndege magari mabomu na risasi.
Hebu wote wapewe vitu hivo yaani kwa usawa halafu tuone Myahadi kama atasimama !
Mnaandika ujinga na upumbavu. Wewe umeshika bunduki mapanga na kila zana eti unaenda kupigana na mtu mwenye mikono mitupu ! Hiyo ni akili kweli ??
Wapeni silaha za kisasa HAMAS halafu ndo mseme upuuzi wenu
We nani alikwambia Hamas ni wajinga kiasi hicho eti waanzishe vita wakati hawana siraha...ww tu ngozi nyeusi usiejua hata asili yako kuanzia dini yako na kila kitu unacho fanya huwez kwenda shambani bila jembe sembuse hao waarabu wanaojitambua kuliko ww
 
Baada ya miezi minane ya vita, Mmarekani amekiri Hamas hapigiki-bado yupo imara anajibu mashambulizi. Hamna zaidi ya kutambua Taifa la Palestina . Palestina Huru inanukia. Zionist - Makaburu wa mashariki ya kati chali!
 
Huyo Allah anayetaka Watu wamuombe na kusali kwa Lugha ya Kiarabu wakati anasema kuwa yeye kaumba Watu wote.

Huo ni uendawazimu.
Bora Mungu wa Kiafrika NGAI ana ambae ni Mungu wa wote.
Allah unamuomba hata kwa kisukuma sio kiarabu tu, time ya kusali ndio unasali kwa kiarabu sababu Qur'an ilishushwa kwa kiarabu, hivyo wakati unasali lazima usome aya alizo shusha Mungu kwenya Qur'an.

Kwani Qur'an si inatafsiri? Hata salaa inatafsiri kwa kila lugha na Mungu anakuambia muombe kwa lugha unayo jua sa kosa liko wapi.

Lakini uislam uko very clear Qur'an alishusha Mungu kwa lugha ya kiarabu ndio inamvutio mzuri kwenye salaa, na kusali Mtume alipokea mafunzo kutoka kwa lugha ya kiarabu sa kosa liko wapi wakisali kiarabu? Mbona we unaongea kizungu si choice yako.

We aje mwarabu kanisani akukute unaomba kiswahili atasema Mungu gani huyu anataka ni swali kanisani kiswahili 😄

Ujinga ukizidi noma sana kuna watoto wa Kiafrika wamehifadhi Qur'an tena wanakutafsiria kwa lugha hata tatu hio ni vigumu sana kukuta mtoto mkristo kahifadhi bibilia kwa lugha tofouti na lugha alio zaliwa nayo.

Takbirriiiiii Allahu Akbari
 
Hakuna huo ushahidi.
Tatizo lako unataka Malaika JIBRIL akushukue wewe akuambie mimi nilitumwa na Mungu kwa Muhammad hahaha kwanza Mtume Muhammad anawafuasi wengi sana na kila kukicha wakristo wanaingia uislam hio ni dalili tosha kabisa kuwa ni Mtume wa Mungu hana shida na wewe na wajinga wenzako kama wewe.
 
HAMAS na wapelwstina wamefungwa mikono hawana silaha wanapigana na watu ambao kila siku wanapewa sllaha mpya zikiwemo ndege magari mabomu na risasi.
Hebu wote wapewe vitu hivo yaani kwa usawa halafu tuone Myahadi kama atasimama !
Mnaandika ujinga na upumbavu. Wewe umeshika bunduki mapanga na kila zana eti unaenda kupigana na mtu mwenye mikono mitupu ! Hiyo ni akili kweli ??
Wapeni silaha za kisasa HAMAS halafu ndo mseme upuuzi wenu
Akila za funza anadhani silaha zinagaiwa kama njugu?? unanunua na kutengeneza zako na za ziada.. Hamas wanaasaidiwa and wanajitengenezea zingine Israel vile vile.. issue ni Hamas Magaidi dhamira yao ni kuiteketeza Israel ila uwezo ndio hawana so kuteka kule ni kinga yao wasipigwe mabomu makubwa makubwa.. na Marekani anamuuzia Israel mabomu madogo ila game iwe kama sawa isito na uonevu...

Mmeacha kumuamii Iran kwani alisema Israel watamalizwa wote Nukuu from Faiza Fox
 
Back
Top Bottom