Hamas yaendelea kuwaachia mateka ambao si waisrael bure kabisa

Kwanini sasa iliwateka?
Kwanini amekaa nao muda wote huo?
 
Walikamatwa kwa sababu walikuwa ndani ya Israel na enro la mission.
Na hawakuwajua kwa muda ule wa kimbunga.Hata polisi wetu. wanafanya hivyo hivyo wakati wa kukamata wahalifu.
Sisi polisi wetu baada ya hapo wanaweza wakakusababishia madhara lakini Hamas wamewatunza vizuri ukiondoa hao waliouliwa na mabomu ya IDF.
 
Mateka wa mwisho kuachiwa watakuwa Wamarekani
Hamas katika majadiliano na mayahudi wako vizuri sana.Wakitaka kuvunja makubaliano wako macho kabisa.
Israel imeendelea kuwepo kutokana na uhalifu na hadaa.
Kabla mwaka 1948 walikuja kama maskini wanaotaka kufanya kazi kwenye mashamba ya mayahudi,halafu wakapewa pesa wakajifanya wanunuzi wa ardhi.Na hatimae wakawa wanawafukuza majirani zao kwa nguvu na mwishowe kwa jeshi.
Hivyo wataachia akinamama na watoto wote isipokuwa hao magaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…