Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,111
- 53,092
Israeli lilikuwa taifa teule ila Mungu alishawakataaWakristo wenzangu kwenye hili ndio natofautiana na nyie, huwezi ua watoto na watu wasio na hatia then useme israel taifa teule, huyo Mungu gani?
Gaza kumekucha huko wananchi wanazurura mitaani wakiimba na kumshukuru Mungu baada ya Hamas kukubali masharti ya Israel muda huu.
Kwakweli Mungu ni mwema anajibu wamekufa wengi sana na sasa tuseme imetosha waliobakia waendelee na maisha ila adabu wamekipata walichokitafuta.
======
Kiongozi wa Hamas, Ismail Haniyeh ametuma neno la kundi hilo kukubali pendekezo la wapatanishi, Qatar na Misri kusitisha mapigano.
Chanzo ndani ya Jeshi la Israel kimenukuliwa na Reuters kikisema Hamas wamekubali pendekezo laini la Misri ambalo halikubaliki kwa Israel. Vyombo vya habari vya Israel pia vimesema Serikali ya Israel havijakubali mpango huo.
- Maelfu ya watu wamekimbia mashariki mwa Rafah baada ya Israel kuwataka kuondoka ikijiandaa na mpango wa mashambulizi kwenye mji huo
- Hamas imesema mashambulizi ya Majeshi ya Israel haitakuwa 'Picnic' na imejiandaa kuwalinda raia wa Palestina.
Mtoto wa nyoka ni nyoka na mtoto wa gaidi ni gaidiWakristo wenzangu kwenye hili ndio natofautiana na nyie, huwezi ua watoto na watu wasio na hatia then useme israel taifa teule, huyo Mungu gani? Labda ni Mungu kichaa huyo, ndio maana hizi dini naziona ni vyama vya kisiasa vya kale, uongo ongo mtupu, ila ndio ivyo sunday school na madrasa zimewaminisha na nyie mmekalili
Endelea kujifariji kwa kubanamarindaIsraeli lilikuwa taifa teule ila Mungu alishawakataa
Baada ya Wayahudi kuwakataaa na kuwaua manabii wa Mungu
Kwani mpaka sasa Israeli wamesemaje?Mnajifariji huku mmebanamarinda kwa uchungu
Ukweli ndio huoEndelea kujifariji kwa kubanamarinda
Haaa mkuu inakuwaje kumbe ni wewe? Pamoja mkuu nilidhani adriz au Accumen MoUkweli ndio huo
Umenena mtani, kwa hili nakuunga mkonoNi jambo jema, vita sio nzuri. Tuifanye dunia sehemu salama.
Pole inaelekea binti palestina huenda akakataliwa na dume Israel maana aljazeera wanasema
unnamed Israeli official quoted by the Reuters news agency says Hamas has approved a “softened” Egyptian proposal that is not acceptable to Israel.
Dah kama itakuwa hivyo basi kweli palestina si rizki ni mbuzi wa maskini asiyezaa.
Pole goma hamas ashakataliwa asubiri kipondo tu hapo rafah1. Ushabiki wa Simba na Yanga au dini zenu Si tulishakubaliana mwende vijiweni huko?
2. Kukubali Kwa HAMAS hapa si Bure:
View attachment 2982867
2. HAMAS ametaka guarantee hii siku zote, Kwa nini asi sign?
3. Mpira ulipo anasubiriwa mchumba tu.
View attachment 2982873
4. Naye atabana atabana, ila ataachia tu:
View attachment 2982877
Pole goma hamas ashakataliwa asubiri kipondo tu hapo rafah