Hamas yakubali pendekezo la kusitisha mapigano, wananchi wa Rifah washangilia

Hivi COVID iliishia wapi??
 
Khe.. jamani news za waislamu hazina tofauti na Quran full uongo na ujinga.. rubbish.. matokeo ya mtihani wa Quran haya

1. Taarifa ya waislam ndiyo ipi?



2. Kwani rejea iliyokuwemo na ushahidi wote mle hukuiona?



3. Kulikoni kudhani kila mtu ni mfia dini kama ninyi?



4. Wafia dini ni wafia dini tu, wawe waislam, wakristo, Buddha nk, tofauti yao ni majina tu!

5. Usinihusishe kwenye ufia dini wenu na kina MK254; huko endeleeni kivyenu vyenu!

6. Bure kabisa!
 
Kama ni mkristo na unasoma bible
Kasome kitabu Cha Joshua
Ndo uje Tena hapa ufute ujinga wako

Ukoimwangalia Mungu kisiasa tu hutamwelewa
 
Kama ni mkristo na unasoma bible
Kasome kitabu Cha Joshua
Ndo uje Tena hapa

Ukoimwangalia Mungu kisiasa tu hutamwelewa
 
Israel haikuamka na kuanza kuua wanawake na watoto. Yaliyotokea Okt 7 unayafahamu vzr. Mwana kulitafuta,,mwana kulinywa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…