Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 8,870
- 14,258
Hamas kupitia wasemaji wake imetoa takwimu ya uharibifu uliofanywa na mayahudi katika kipindi chote cha vita mpaka sasa,
Jumla ya misikti 610 ya Gaza na makanisa matatu yamebomolewa kabisa na kwa makusudi na majeshi ya IDF,
Miongoni mwa majengo hayo ya kiibada yaliyovunjwa yamo yenye historia ndefu sana na yanayotunzwa na Unesco.
Kibaya zaidi walichofanya majeshi hayo ni kuchoma moto Qur'an na kuifanyia dharau.Kwa hilo Hamas wametoa wito kwa nchi za kiislamu,mataifa ya kiarabu na wakristo kuja juu kulinda urithi wa dini zao.