Hamas yatoa takwimu za misikiti na makanisa yaliyoharibiwa na mayahudi. Yatoa wito kwa waislamu na wakristo kulinda tamaduni zao

Hamas yatoa takwimu za misikiti na makanisa yaliyoharibiwa na mayahudi. Yatoa wito kwa waislamu na wakristo kulinda tamaduni zao

View attachment 3078599

Hamas kupitia wasemaji wake imetoa takwimu ya uharibifu uliofanywa na mayahudi katika kipindi chote cha vita mpaka sasa,
Jumla ya misikti 610 ya Gaza na makanisa matatu yamebomolewa kabisa na kwa makusudi na majeshi ya IDF,
Miongoni mwa majengo hayo ya kiibada yaliyovunjwa yamo yenye historia ndefu sana na yanayotunzwa na Unesco.
Kibaya zaidi walichofanya majeshi hayo ni kuchoma moto Qur'an na kuifanyia dharau.Kwa hilo Hamas wametoa wito kwa nchi za kiislamu,mataifa ya kiarabu na wakristo kuja juu kulinda urithi wa dini zao.


Hamas urges anger and condemnation over Quran burning by Israeli soldiers

Waache kulialia kama vijana wa UVCCM
 
Hivi kale kakikundi ka WAHUNI(magaidi) wa Yemen kanako fadhiliwa na Jamhuri ya Kiislamu( kigaidi) ya Iran kapo? Wamepotea sana
Inaonekana wewe ndio umepotea mtandaoni.
Marekani na UK wamepiga sana na jamaa bado wapo wanazamisha meli.
 
Back
Top Bottom