Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waache kulialia kama vijana wa UVCCMView attachment 3078599
Hamas kupitia wasemaji wake imetoa takwimu ya uharibifu uliofanywa na mayahudi katika kipindi chote cha vita mpaka sasa,
Jumla ya misikti 610 ya Gaza na makanisa matatu yamebomolewa kabisa na kwa makusudi na majeshi ya IDF,
Miongoni mwa majengo hayo ya kiibada yaliyovunjwa yamo yenye historia ndefu sana na yanayotunzwa na Unesco.
Kibaya zaidi walichofanya majeshi hayo ni kuchoma moto Qur'an na kuifanyia dharau.Kwa hilo Hamas wametoa wito kwa nchi za kiislamu,mataifa ya kiarabu na wakristo kuja juu kulinda urithi wa dini zao.
Hamas urges anger and condemnation over Quran burning by Israeli soldiers
Inaonekana wewe ndio umepotea mtandaoni.Hivi kale kakikundi ka WAHUNI(magaidi) wa Yemen kanako fadhiliwa na Jamhuri ya Kiislamu( kigaidi) ya Iran kapo? Wamepotea sana
Duh hatari mkuu 🤔Hizo za Hamas zinaitwa updates wakati vita vinaendelea