Waambie cku nyingine wasijaribu kumshika simba makalio.View attachment 3078599
Hamas kupitia wasemaji wake imetoa takwimu ya uharibifu uliofanywa na mayahudi katika kipindi chote cha vita mpaka sasa,
Jumla ya misikti 610 ya Gaza na makanisa matatu yamebomolewa kabisa na kwa makusudi na majeshi ya IDF,
Miongoni mwa majengo hayo ya kiibada yaliyovunjwa yamo yenye historia ndefu sana na yanayotunzwa na Unesco.
Kibaya zaidi walichofanya majeshi hayo ni kuchoma moto Qur'an na kuifanyia dharau.Kwa hilo Hamas wametoa wito kwa nchi za kiislamu,mataifa ya kiarabu na wakristo kuja juu kulinda urithi wa dini zao.
Hamas urges anger and condemnation over Quran burning by Israeli soldiers
Sasa mbona mnalia lia na mmempanda. Mnaanzisha vita halafu mnaacha raia mnakimbilia mashimonWao wamempanda juu kabisa kama punda.
Hii vita imeenda sambamba na jinai za kutosha, raia wema wameteseka mno.View attachment 3078599
Hamas kupitia wasemaji wake imetoa takwimu ya uharibifu uliofanywa na mayahudi katika kipindi chote cha vita mpaka sasa,
Jumla ya misikti 610 ya Gaza na makanisa matatu yamebomolewa kabisa na kwa makusudi na majeshi ya IDF,
Miongoni mwa majengo hayo ya kiibada yaliyovunjwa yamo yenye historia ndefu sana na yanayotunzwa na Unesco.
Kibaya zaidi walichofanya majeshi hayo ni kuchoma moto Qur'an na kuifanyia dharau.Kwa hilo Hamas wametoa wito kwa nchi za kiislamu,mataifa ya kiarabu na wakristo kuja juu kulinda urithi wa dini zao.
Hamas urges anger and condemnation over Quran burning by Israeli soldiers
hao waislam huku afrika wanatuua hatuez waung mkonoView attachment 3078599
Hamas kupitia wasemaji wake imetoa takwimu ya uharibifu uliofanywa na mayahudi katika kipindi chote cha vita mpaka sasa,
Jumla ya misikti 610 ya Gaza na makanisa matatu yamebomolewa kabisa na kwa makusudi na majeshi ya IDF,
Miongoni mwa majengo hayo ya kiibada yaliyovunjwa yamo yenye historia ndefu sana na yanayotunzwa na Unesco.
Kibaya zaidi walichofanya majeshi hayo ni kuchoma moto Qur'an na kuifanyia dharau.Kwa hilo Hamas wametoa wito kwa nchi za kiislamu,mataifa ya kiarabu na wakristo kuja juu kulinda urithi wa dini zao.
Hamas urges anger and condemnation over Quran burning by Israeli soldiers
Vipi kuhusu Allah anaepiganiwa na vikundi vyenye silaha za moto?Sisi wakristo tunamuachia Mungu, wakibomoa makanisa Mungu ndio atashughulika nao hatupaswi kupigana na kumpigania Mungu, Mungu wetu anatupigania
Vibaya hivo lo!
Umenena!Ni bora nichukue jembe nikalime kuliko kusikiliz propaganda za magaidi.
Ama hakika usichokijua ni usiku mnene.Hamas walitumia misikiti na makanisa kuteka na kushambulia Israel wakitarajia makanisa yetu wakiristo yakishambuliwa na majeshi ya Israel tutalaani Israel
Hakuna kitu kama hicho
Wakristo na wayahudi baba yetu mmoja Ibrahim pamoja na kuwa kiimani tunatofautiana wao wengi wao hawaaamini imani ya Kikristo iliiyoanzishwa na myahudi Yesu Kristo lakini tunaheshimiana na kupendana bila kujali tofauti zetu za kiimani tofauti na waislamu wanajitia ohh Ibrahim ndugu yao lakini mayahudi hawana undugu nao.Sisi wakristo tunaamini t8mezal8wa na Ibrahim wayahudi na wakristo lakini tuna imani tofauti lakini hatubali hata siku moja kuwa na uhasama na wayahudi wa aina yeyote na hauji kutokea
Hivyo hata makanisa yetu yaliyoshamhuliwa ili kuwapiga hamas waliojificha kwenye hayo makanisa huwezi sikia wakristo wakilaani Israel Vita ikiisha serikali ya Israel itajenga bila shida.
Wakristo tunaunga mkono Hamas wapigwe tu wakijificha kwenye makanisa wapigwe hata kama makanisa yatabomolewa na mabomu wakiwapiga ruksa
Simba wa Maboksi 😂Waambie cku nyingine wasijaribu kumshika simba makalio.
Ukalime Bhange zakoNi bora nichukue jembe nikalime kuliko kusikiliz propaganda za magaidi.