Hamas zaidi ya 10 waangamizwa kwenye jaribio la kuteka askari wa Israel

Hamas zaidi ya 10 waangamizwa kwenye jaribio la kuteka askari wa Israel

Echolima1

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2019
Posts
9,662
Reaction score
8,023
Shambulizi lililoratibiwa na Hamas kwenye Kituo cha IDF Karibu na Khan Yunis

IDF ilithibitisha kuwa Hamas walianzisha shambulio lililoratibiwa kwa kutumia bunduki na vifaru, na hivyo kufanikiwa kuruka kizuizi cha karibu na Khan Yunis.

Askari mmoja kutoka Brigedi ya Kfir alijeruhiwa vibaya na wengine wawili kujeruhiwa kidogo.

Takriban washambuliaji 18 walitoka kwenye mahandaki, baadhi yao wakiwa na machela ambayo huenda yalilenga kutekwa nyara. Takriban watu 10 wa Hamas waliuawa katika mapigano hayo, huku wengine wakikimbia na kuingia kwenye mahandaki yao.

Pichani angalia magaidi hao walivyokuwa wanaangamizwa na drones za Israel!!!! Kwenye picha nyingine kinaonekana kifaru cha Israel Merkava 4 kikimkanyaga gaidi mmoja aliyejeruhiwa huyu lazima mavi yalitokea mdomoni!! Webabu gTurn mdogoye na mwenye akili za kushikizwa Bukyanagandi angalieni umahiri wa Jeshi la Israel lilivyozima shambulio la magaidi wa Hamas kisha kuwapa adhabu kidogo ya kuwaangamiza bila huruma magaidi 10 papo kwa papo!!



IMG_3941.jpeg
 

Attachments

  • 7e7ddf3e-e995-453f-8c74-cc440f22a2a4.mov
    19.2 MB
  • IMG_3940.jpeg
    IMG_3940.jpeg
    248.4 KB · Views: 31
Jihadists wanakuja mbio na majambia kupinga kuuliwa kwa magaidi wao.
 
Waliuawa ujumla ni 83% raia wema ndio maana Hamas hawaishi japo Microsoft na Google na AI Kwa ujumla wamewasaidia identify lakini wapi?
 

Attachments

  • IMG_20250821_220738_266.jpg
    IMG_20250821_220738_266.jpg
    82.4 KB · Views: 33
Shambulizi lililoratibiwa na magaidi wa Hamas kwenye Kituo cha IDF Karibu na Khan Yunis

IDF ilithibitisha kuwa magaidi walianzisha shambulio lililoratibiwa kwa kutumia bunduki na vifaru, na hivyo kufanikiwa kuruka kizuizi cha karibu na Khan Yunis.

Askari mmoja kutoka Brigedi ya Kfir alijeruhiwa vibaya na wengine wawili kujeruhiwa kidogo.

Takriban washambuliaji 18 walitoka kwenye mahandaki, baadhi yao wakiwa na machela ambayo huenda yalilenga kutekwa nyara. Takriban magaidi 10 waliuawa katika mapigano hayo, huku wengine wakikimbia na kuingia kwenye mahandaki yao.

Pichani angalia magaidi hao walivyokuwa wanaangamizwa na drones za Israel!!!! Kwenye picha nyingine kinaonekana kifaru cha Israel Merkava 4 kikimkanyaga gaidi mmoja aliyejeruhiwa huyu lazima mavi yalitokea mdomoni!! Webabu gTurn mdogoye na mwenye akili za kushikizwa Bukyanagandi angalieni umahiri wa Jeshi la Israel lilivyozima shambulio la magaidi wa Hamas kisha kuwapa adhabu kidogo ya kuwaangamiza bila huruma magaidi 10 papo kwa papo!!

View attachment 3448232
View attachment 3448246
View attachment 3448246View attachment 3448247
Hivi kumebe HAMAS wanavyo vifaru?
Hizi picha /clips utazitofautishaje na AI generated?
 
Back
Top Bottom