Shambulizi lililoratibiwa na magaidi wa Hamas kwenye Kituo cha IDF Karibu na Khan Yunis
IDF ilithibitisha kuwa magaidi walianzisha shambulio lililoratibiwa kwa kutumia bunduki na vifaru, na hivyo kufanikiwa kuruka kizuizi cha karibu na Khan Yunis.
Askari mmoja kutoka Brigedi ya Kfir alijeruhiwa vibaya na wengine wawili kujeruhiwa kidogo.
Takriban washambuliaji 18 walitoka kwenye mahandaki, baadhi yao wakiwa na machela ambayo huenda yalilenga kutekwa nyara. Takriban magaidi 10 waliuawa katika mapigano hayo, huku wengine wakikimbia na kuingia kwenye mahandaki yao.
Pichani angalia magaidi hao walivyokuwa wanaangamizwa na drones za Israel!!!! Kwenye picha nyingine kinaonekana kifaru cha Israel Merkava 4 kikimkanyaga gaidi mmoja aliyejeruhiwa huyu lazima mavi yalitokea mdomoni!!
Webabu gTurn mdogoye na mwenye akili za kushikizwa
Bukyanagandi angalieni umahiri wa Jeshi la Israel lilivyozima shambulio la magaidi wa Hamas kisha kuwapa adhabu kidogo ya kuwaangamiza bila huruma magaidi 10 papo kwa papo!!
View attachment 3448232
View attachment 3448246
View attachment 3448246View attachment 3448247