dosho12
JF-Expert Member
- May 6, 2023
- 596
- 1,475
miongoni mwa motivation kubwa za binadamu ambazo husababisha afanye kitu chochote kwa ujumla zinaitwa RICE
R= inasimama kama Reward ikimaanisha kitu unachopewa au aidiwa akifanya kitu, hivi ni kama vile pesa, gari, nyumba, mwanamke
I=inasimama kama Ideology, hii inahusishwa vitu unavyo amini kama vile Dini, familia, chama chochote. Mtu anaweza fanya mambo ya ajabu kwa ajili ya kitu anacho amini
C= Hii ni Coercian hivi ni vitu negative kama aibu, majuto. Mtu unaweza mwambia afanye kitu kwa ajili ya vitu negative
E= Ego ni jinsi mtu anavyojiona yeye mfano mtu anajiona yeye mstaarabu ana huruma ana majivuno, mjanja ana heshima. Mtu anaweza fanya vitu vya ajabu kwa ajili ya Ego
asilimia kubwa ya watu hufanya vitu vya ajabu kwa ajili ya Motivation hizi