Nkerebhuke
JF-Expert Member
- Nov 1, 2021
- 796
- 2,026
Katika dunia ya leo ambayo ustaarabu upo kwenye kiwango cha juu mambo ya hamasa kwenye michezo hususani mpira yamepewa nafasi ndogo sana. Mpira ni mchezo wa medani unaitaji mikakati, mbinu na uhodari kuweza kumshinda mpinzani wako.
Hamasa zimewafanya wachezaji wa yanga kuwa overwhelmed na ahadi nyingi za wanasiasa ambao wanataka kuongeza umaarufu wao.
Hamasa zimewafanya wachezaji wa yanga kuwa overwhelmed na ahadi nyingi za wanasiasa ambao wanataka kuongeza umaarufu wao.