kovai tamil taiga
JF-Expert Member
- Sep 28, 2013
- 1,451
- 2,059
Huitaji uwe na digrii kulijua hili.
Na huyu Kocha mpya hatakuwa na muda mrefu ama atafukuzwa,ama atajiondoa Mwenyewe kama alivyofanya Mzee Said Ramadhani.
Pale Yanga Lipo tatizo litakaloendelea kuitafuna iwapo tatizo hilo litafumbiwa macho na kuendelea kulaumu vitu visivyo na mashiko kama marefa.
Tatizo lenyewe lilianzia Kwenye Usajili. Na hata Kwenye dirisha dogo imeshindikana kurekebisha.
Huyu naye Ataondoka..!
Sasa unataka aishi milele?Huitaji uwe na digrii kulijua hili.
Na huyu Kocha mpya hatakuwa na muda mrefu ama atafukuzwa,ama atajiondoa Mwenyewe kama alivyofanya Mzee Said Ramadhani.
Pale Yanga Lipo tatizo litakaloendelea kuitafuna iwapo tatizo hilo litafumbiwa macho na kuendelea kulaumu vitu visivyo na mashiko kama marefa.
Tatizo lenyewe lilianzia Kwenye Usajili. Na hata Kwenye dirisha dogo imeshindikana kurekebisha.
Huyu naye Ataondoka..!
Hahahaha na yeye kaandika threadsSasa ulitegemea afie Yanga? Threads nyingine bhana, taabu tupu.
Sasa ulitegemea afie Yanga? Threads nyingine bhana, taabu tupu.
Huitaji uwe na digrii kulijua hili.
Na huyu Kocha mpya hatakuwa na muda mrefu ama atafukuzwa,ama atajiondoa Mwenyewe kama alivyofanya Mzee Said Ramadhani.
Pale Yanga Lipo tatizo litakaloendelea kuitafuna iwapo tatizo hilo litafumbiwa macho na kuendelea kulaumu vitu visivyo na mashiko kama marefa.
Tatizo lenyewe lilianzia Kwenye Usajili. Na hata Kwenye dirisha dogo imeshindikana kurekebisha.
Huyu naye Ataondoka..!
Hakuna timu inayosajili kocha mile hapa Tanzania,hata makolo wametema sana makocha.Elewa mada, hatodumu Kwa muda mrefu na sio 'kufa'
Mi-loud = Mi-keleleHuitaji uwe na digrii kulijua hili.