Hamdi Miloud Naye 'Ataondoka' Yanga

Hamdi Miloud Naye 'Ataondoka' Yanga

kovai tamil taiga

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2013
Posts
1,451
Reaction score
2,059
Huitaji uwe na digrii kulijua hili.

Na huyu Kocha mpya hatakuwa na muda mrefu ama atafukuzwa,ama atajiondoa Mwenyewe kama alivyofanya Mzee Said Ramadhani.

Pale Yanga Lipo tatizo litakaloendelea kuitafuna iwapo tatizo hilo litafumbiwa macho na kuendelea kulaumu vitu visivyo na mashiko kama marefa.

Tatizo lenyewe lilianzia Kwenye Usajili. Na hata Kwenye dirisha dogo imeshindikana kurekebisha.

Huyu naye Ataondoka..!
 
Sasa ulitegemea afie Yanga? Threads nyingine bhana, taabu tupu.

Sasa unataka aishi milele?
 
Elewa mada, hatodumu Kwa muda mrefu na sio 'kufa'
Hakuna timu inayosajili kocha mile hapa Tanzania,hata makolo wametema sana makocha.
 
Huitaji uwe na digrii kulijua hili.

Na huyu Kocha mpya hatakuwa na muda mrefu ama atafukuzwa,ama atajiondoa Mwenyewe kama alivyofanya Mzee Said Ramadhani.

Pale Yanga Lipo tatizo litakaloendelea kuitafuna iwapo tatizo hilo litafumbiwa macho na kuendelea kulaumu vitu visivyo na mashiko kama marefa.

Tatizo lenyewe lilianzia Kwenye Usajili. Na hata Kwenye dirisha dogo imeshindikana kurekebisha.

Huyu naye Ataondoka..!
Mi-loud = Mi-kelele
 
Back
Top Bottom