Stimboti
JF-Expert Member
- Oct 16, 2018
- 310
- 572
Aisee ni kweli magufuli alijua kunyoosha wajinga wajinga kama huyo hamisiMbaya sana ikifikia kwenye nchi kiongozi anafanya anavyotaka, haya mambo ndio tunamkumbuka magufuli aliweza kudhibiti
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee ni kweli magufuli alijua kunyoosha wajinga wajinga kama huyo hamisiMbaya sana ikifikia kwenye nchi kiongozi anafanya anavyotaka, haya mambo ndio tunamkumbuka magufuli aliweza kudhibiti
Pesa za bule utajiri sio asili yakeWewe bwana wewe . Huyu hata kwenye nyumba za ibada akiingia hupenda atambuliwe uwepo wake anakuja na mtoto wake naye anataka atambuliwe kama mtt wa kiongozi.
Wanyamwezi wanajulikana na hata hao wanajulikana
AiseeeYule ni mbumbumbu sana ndio maana mgomvi mgomvi tu,na anatumia vibaya sana mamlaka akiwa nayo,shortly ni takataka and highly pompious
atalipa kodi Isanga family [emoji1]POSHO TU BILION 47 NANI ATAKUWA MZALENDO WA KULIPA KODI?
Anasoma chuo gani?amemaliza PhD Swesen?
NCHI HII YA AJABU SANAMbaya sana ikifikia kwenye nchi kiongozi anafanya anavyotaka, haya mambo ndio tunamkumbuka magufuli aliweza kudhibiti
Kwamba mhe.Ni h...... 1.......v pozitiv???Wadudu wamehamia kichwani, wanavuruga ubongoo tyuuh [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bule = bure, lisasi = risasi. Elfu 50 ina elfu 3 tatu ngapi?Hela za bule zina mlevia mbona hatujaona matajiri wakiwapiga watu lisasi?
One of the most overrated personalities in the last 10-15 years.. jamaa alikuwa janja janja sanaYaani doc, nimesikitika sana, umeshindwaje kudhibiti hasira zako hadharani?
Kwanini uwe gumzo kwa migogoro na wafanyakazi wako, hasa kwenye kuwanyima haki zao?
Haya yetu macho
Unazungumzia intelligence gani?Kwenye kuwa na Akili ( Intelligent ) nakubaliana nawe 100% kwani kuna mahala niliwahi Kukutana nae na nikaligundua hilo.
Psychiatrists wajaribu kukaa nae kwani nahisi kuna linalomsibu na halijatatuliwa lakini pia mlio nae karibu mwambieni aachane na kupenda mno Waganga wa Kienyeji na ajikite Kumuamini Mwenyezi Mungu ( Allah ) pekee.
Nimesikitika sana kama kafanya hili.
Mshasikiliza maelezo ya upande wa pili? mnadhani anamiliki siraha kama pambo? vipi kama huyo kijana alimshambulia kwa nini asijilinde?Tanzania rahaaa yaani kiongozi unapiga risasi mtu na polisi wala haikukamati.
Mama Samia Suluhu Hassan nipe ubunge kuna mtu ananidai huku nae nipige risasi akome kunidai manin..a zake[emoji1787][emoji1787]
Duhh!!hatari firec&p....DR KIGWANGALA AMPIGA RISASI MFANYAKAZI WAKE NA KUMJERUHI VIBAYA SANA
Mh, Mbunge wa Nzega HAMIS KIGWANGALA Leo 23-5-2023 anatuhumiwa kumpiga Risasi na kumjeruhi Kijana Anayefahamika kwa jina la SAID OMARY ambaye ni mfanyakazi wake na kupelekea kumjeruhi vibaya sana Miguuni na sehemu Mbalimbali za mwili wake Katika eneo la NHUNGUMALWA Kwimba Eneo ambalo Mh Hamis Kigwangala amekodi kiwanda cha Pamba(Cotton Ginnery)
Chanzo cha mgogoro huo hadi kupelekea kupigwa Risasi na Mh Kigwangala ni kutokana na Bwana Said Omary kumdai malipo yake bwana Kigwangala baada ya kuona anadaiwa Mh Kigwangala alidai yeye ndiye anamdai Fedha milioni 28 Bwana Said kufuatia hilo Bwana Said Omary aliona ni kama Anataka kudhulumiwa ndipo ukatokea ubishani mkubwa uliopelekea Mh Kigwangala kufyatua Risasi Hewani na Moja kumpiga Miguuni na Sehemu Mbalimbali za Mwili Bwana Said Omary, Baada ya kutokea hilo Said alienda Polisi kuchukua Pf 3 na hatimaye Kutibiwa majeraha yake, Polisi kituo Kikuu Cha Ngudu Ililazimika kumweka Ndani Mh Hamis Kigwangala, Taarifa Zilizoifikia NGUDU ONLINE TV Zinasema kuwa jioni ya Leo Mh Kingwangala ametolewa kwa Dhamani kwa madai kuwa ANAWAHI Bungeni Dodoma, Na Taarifa zilizopo zinaonesha kuwa Zipo jitihada kubwa za kulizima jambo hili kimya kimya na JESHI LA POLISI KUPITIA KIGOGO MMOJA ALIYEPO POLISI MKOA WA MWANZA Kwa kushirikiana na OC CID KWIMBA Anaonekana kuwa kwenye Mpango huu wa Kumaliza kesi hii Ili ionekane Kijana Huyu Hajapigwa Risasi na Mh Hamis Kigwangala Kwa kubadilisha maelezo yaliyopo Na KUMBADILISHIA KESI Said Omary Ili Kumlinda Mh Hamis Kigwangala , kitu ambacho kinaonesha Waziwazi Uvunjaji wa Sheria za nchi, Baadhi ya Viongozi Katika Wilaya ya Kwimba waliohojiwa na NGUDU ONLINE TV Wakiwemo Watetezi wa Haki za Binadamu kutoka Maeneo mbalimbali Ya Mkoa wa Mwanza Wameoneshwa kusikitishwa na Kitendo cha Polisi kumwachilia Mh Kigwangala kwa haraka haraka bila kufuata taratibu nyinginezo Na wamezidi kuhoji kwa nini Watuhumiwa wengine huchukua hadi Siku 5 wakiwa Rumande bila dhamana kwa kisingizio cha Upelelezi kwa Nini huyu Aachiliwe kwa muda mfupi kupita Kiasi? Aidha Watetezi wa Haki za Binadamu Wameahidi kuendelea kufuatilia kwa Karibu Kesi hii Hasa dalili za Kijana Said Omary Kubadilishiwa Kesi na Yeye kuwekwa ndani ili kumlinda Mh Hamis Kigwangala
NGUDU ONLINE TV Ilipompigia Simu Bwana Said Omary Alikiri kweli kutokea kwa tukio hilo na AMEMUOMBA Mh Rais Kumsaidia kupata haki Yake!