Hamis Kigwangalla inakuwaje unashindwa kudhibiti hasira zako? Ona sasa umepatwa na janga

Kigwangala aliumwa unyafuzi na kwashiorkor utotoni ( kulingana na maelezo yake mwenyewe) so lazima nati kadhaa kichwani zimelegea jumlisha na madhara ya kuteseka na kukosa malezi ya baba utotoni lazima awe na matatizo ya kisaikolojia na akili
 
Kigwangalla ni TAKATAKA ila huwezi kumjua mpaka u deal naye Moja kwa Moja. Hata Magufuli alipo mpa uwaziri hakujua kwamba amempa mtu BOGUS. Alikuja juwa too late baada ya Kigwangalla kuanza ufisadi kwenye wizara ya utalii
 
Unazungumzia intelligence gani?
Au we ni kilaza ndugu?
Huyo hawezi kuwa kwenye kundi laa watu intelligents,yupo kwenye kundi la watu wanaokumbuka kile walichoona na kusikia.
Hawa ndio wanafaulu shuleni na mnawaita intelligents.Lakini ukweli hawana ubunifu wowote na hawawapendi watu wabunifu ila kutokana na kipaji chao cha kukumbuka wanapewa madaraka na kuyatumia kuiba na kujitajirisha huku wakiendelea kudhulumu wafanyakazi wao.
Mifano ipo mingi.
 
CCM wote kwa ujumla hata vyuoni ni watu wasiojitambua hawana critical thinking nashangaaga Mtu anapowachukulia serious Ccm kitendo Cha Mtu kuwa Ccm automatically anapoteza Huwezo wa kufikiria Maisha ya watu wengine na kujiona yeye ni Bora kuliko wengine.
 
Tanzania rahaaa yaani kiongozi unapiga risasi mtu na polisi wala haikukamati.

Mama Samia Suluhu Hassan nipe ubunge kuna mtu ananidai huku nae nipige risasi akome kunidai manin..a zake[emoji1787][emoji1787]
Mshasikiliza maelezo ya upande wa pili? mnadhani anamiliki siraha kama pambo? vipi kama huyo kijana alimshambulia kwa nini asijilinde?
 
Huyo Kijana kwanza apande Basi aondoke huo mkoa kwa muda aje hata Dar. Kisha ajifiche. Aje akutane na mawakili huku Dar na amfungulie kesi ya attempted Murder ni kesi kubwa sana hii na penalty yake ni kifungo tena cha muda mrefu sana.

Kama kigwangala akitaka mazungumzo amwambie aweke milioni 200 mezani. Hataki kesi aipeleke kila Media outlets ili ingurume.

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Duhh!!hatari fire
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…