Hamis Kigwangalla inakuwaje unashindwa kudhibiti hasira zako? Ona sasa umepatwa na janga

Duh huyu jamaa kapatwa na nini?
Jamaa sikuhizi yuko frasturated sana

Sent from my Nokia C2 using JamiiForums mobile app
Simba hawana KOMBE hata moja, Kigwa imemchukua kisaikolojia sana mawazo ni mengi mno pole kwake na wanasimba kwa ujumla kwa kua na stress za kukosa ubingwa kila sehemu, naona Bwana Omary Said ni Yanga akawa anamletea utani wa Pesa Bwana Kigwa akaona ampige risasi za miguu tu asimletee ujinga maana kila alipoibetia Simba amekua akipoteza almost million 28 imemtoka baada ya Simba kupoteza mechi zake, pole sana Kigwa
 
atalipa kodi Isanga family
(Joke)

Ova
Mkuu mimi nalipa kodi harafu naumia sana nikisikia huu ujinga pana kipindi Tunduma hata kabla ya mageti yao wala force zao mimi nasubiri ofisi ifunguliwe asubuhi nikalipie kodi muda mwingine unasumbuliwa unaambiwa hii bidha inataka kibali kutoka kwa mkemia mkuu unaanza upya kesi hiyo harafu huku wahuni wanajizolea tuu niliwahi waambia TRA wawe na kitengo cha kuangalia matumizi ya fedha wanazokusanya kama cha EFD na watupe taarifa kuliko huu ujinga pana watu kulipa kodi wao wanasema ni dhambi kubwa kwa sababu Kodi inachezewa tuu na biashara wanafanya miaka nenda rudi...
 
Ukipata nafasi ya kukwepa kulipa kodi wewe kwepa tu... kuliko iliwe hovyo na wajinga wajinga bora ununue nyama ule na familia yako, au uende vacations tu
 
Ukipata nafasi ya kukwepa kulipa kodi wewe kwepa tu... kuliko iliwe hovyo na wajinga wajinga bora ununue nyama ule na familia yako, au uende vacations tu
Kweli kabisa jamaa hawatutendei haki kabisa aisee...angalia kwenye vifurushi vya simu ujambazi uliopo huko ni balaa bando ukiweka tu unapata meseji ya kuisha wakati hata haijatumika wahusika wakuu nao hawana majibu...
 
Kapiga risasi juu ikamjeruhi mtu mguuni hiyo ni risasi toleo jipya
 
Uyu jamaa ni zaidi ya Pimbi Personal nadhani namjua kuliko yoyote yule..sijui Serikali hua inatumia kigezo gani kuwapa MAPIMBI aina hii MADARAKA

Ana kiburi
Ni jeuri
Ana roho mbaya
Mbinafsi
Yaan kwa kifupi hana utu ata nukta
moja🫤🫤🫤
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…