Bob Lee Swagger
JF-Expert Member
- Oct 21, 2011
- 1,362
- 517
Mbona siku ile alikuwa ana-rap bungeni kwa mipasho utadhani Shakila badala ya kutoa hoja hiyo baada ya wapinzani kususa mjadala uliochakachuliwa na maCCM? Mnafiki, mzandiki, mzushi mkubwa anaonekana bendera fuata upepo. Ameshaone upande wa pili ni winning side hivyo anataka ajihusishe na winnind side."Ningekuwa mshauri wa Raisi Jakaya Kikwete kuhusu muswada wa sheria ya mabadiliko ya katiba,ningemshauri asisaini sheria hiyo iliyopitishwa na Bunge mwezi uliopita"
"ushauri wangu unazingatia lengo moja kubwa:kutengeneza muafaka wa kitaifa, na kwa maana hiyo makundi yote ndani na nje ya Bunge ni muhimu kusikilizwa katika kufikia lengo.."
atumegemei raisi asiwasikilize wapinzani na wadau wengine..kuwasikiliza ndiyo uongozi.Nilazima awasikilize wote na atafute usawa kwenye mizania ya haki ili kuwe na muafaka wa kitaifa kwenye zoezi hili nyeti..
....."Raisi kikwete asisaini kwa faida ya kuondoa uwezekano wowote ule wa kutengeneza matabaka ya wabunge walio wengi ( majority) kutokufurahishwa na hatua hiyo.
Pili, kwa kuwa kulikuwa na wabunge wachache(minority)..na kwa kuwa katika demokrasia yoyote ile yenye afya nzuri maoni na sauti za wachache ni lazima visikilizwe kwa umakini zaidi ya wale walio wengi.."
Hili swala nadhani lilishaisha kitambu kwa sasa tunasubiri rasimu ya pili tu.
Hili swala nadhani lilishaisha kitambu kwa sasa tunasubiri rasimu ya pili tu.
Mbowe alitukanwa na Kigwangalah yupi.naomba kukumbushwa
Khaaaaa..huyo ndo
Kigwangara alimporomoshea matusi Mbowe! Kama ametubu, God is always
good. Dhambi yake imesamehewa.
"ningekuwa mshauri wa raisi jakaya kikwete kuhusu muswada wa sheria ya mabadiliko ya katiba,ningemshauri asisaini sheria hiyo iliyopitishwa na bunge mwezi uliopita"
"ushauri wangu unazingatia lengo moja kubwa:kutengeneza muafaka wa kitaifa, na kwa maana hiyo makundi yote ndani na nje ya bunge ni muhimu kusikilizwa katika kufikia lengo.."
atumegemei raisi asiwasikilize wapinzani na wadau wengine..kuwasikiliza ndiyo uongozi.nilazima awasikilize wote na atafute usawa kwenye mizania ya haki ili kuwe na muafaka wa kitaifa kwenye zoezi hili nyeti..
....."raisi kikwete asisaini kwa faida ya kuondoa uwezekano wowote ule wa kutengeneza matabaka ya wabunge walio wengi ( majority) kutokufurahishwa na hatua hiyo.
Pili, kwa kuwa kulikuwa na wabunge wachache(minority)..na kwa kuwa katika demokrasia yoyote ile yenye afya nzuri maoni na sauti za wachache ni lazima visikilizwe kwa umakini zaidi ya wale walio wengi.."
kwanza ninamashaka na huyu hamisi kama kweli hamalizi spirit na dawa zingine zenye kulewesha zinazotumika huko ktk kuperesheni wagonjwa kwa kunywa,kujidunga au kunusa huko maabara! Maana sijawahi kumuelewa kabisa huyu mtu.