Hamis Kigwangalla: Nashauri Rais asisaini muswada

Hamis Kigwangalla: Nashauri Rais asisaini muswada

Yule mzee le mutuz amesema atarudisha kadi hayo yakitokea!!? (Eti naye anatishia kurudisha kadi!?) Ndo ajiandae nadhani!

Kuna signature ya mkuu flan humu simkumbuki jina inasoma, ukijamba kwa hasira utaharisha.. sijui, huyu mzee anayeishi kwa wazazi anaelekea huko!!
 
Wabunge wa CCM bwana wakiwa bungeni kila kitu ni ndiyooo mzee.Wakiwa nje ya bunge wanajifanya wako pamoja na wananchi.
 
"Ningekuwa mshauri wa Raisi Jakaya Kikwete kuhusu muswada wa sheria ya mabadiliko ya katiba,ningemshauri asisaini sheria hiyo iliyopitishwa na Bunge mwezi uliopita"

"ushauri wangu unazingatia lengo moja kubwa:kutengeneza muafaka wa kitaifa, na kwa maana hiyo makundi yote ndani na nje ya Bunge ni muhimu kusikilizwa katika kufikia lengo.."

atumegemei raisi asiwasikilize wapinzani na wadau wengine..kuwasikiliza ndiyo uongozi.Nilazima awasikilize wote na atafute usawa kwenye mizania ya haki ili kuwe na muafaka wa kitaifa kwenye zoezi hili nyeti..

....."Raisi kikwete asisaini kwa faida ya kuondoa uwezekano wowote ule wa kutengeneza matabaka ya wabunge walio wengi ( majority) kutokufurahishwa na hatua hiyo.

Pili, kwa kuwa kulikuwa na wabunge wachache(minority)..na kwa kuwa katika demokrasia yoyote ile yenye afya nzuri maoni na sauti za wachache ni lazima visikilizwe kwa umakini zaidi ya wale walio wengi.."
Mbona siku ile alikuwa ana-rap bungeni kwa mipasho utadhani Shakila badala ya kutoa hoja hiyo baada ya wapinzani kususa mjadala uliochakachuliwa na maCCM? Mnafiki, mzandiki, mzushi mkubwa anaonekana bendera fuata upepo. Ameshaone upande wa pili ni winning side hivyo anataka ajihusishe na winnind side.
 
Viongozi wa ccm ni watu wa ajabu sana! wako kama mbwa ambae hutapika na jurudi kula matapishi yake, wabunge wa ccm walipitisha huu mswada wa katuba kibabe na ikafikia mahali wabunge wa upinzani wakapigwa na maaskari huku wabunge wa ccm wakitukana upinzani, leo hao hao wanashauri ati rais asiusaini mswada, ccm imekuwa inapitisha muswada mingi ya kijinga, ona huu wa uzito barabarani, serikali imepiteza pesa kiasi gani kwa malori kugoma siku mbili!? sheria ya vyombo vya habari, serikali imepiteza kiasi gani kwa kufungia magazeti? Je ni familia ngapi zumeathiruka kwa kukosa ujira! Nawachukia wabunge wa ccm, hamfikiri kwa manufaa ya Taifa
 
simiyu yetu ana id tatau kama Mwigulu wanauliza wanatutega wanajibu wenyewe bila kusahau kumtaja Dk Slaa kila sekund
 
Mbowe alitukanwa na Kigwangalah yupi.naomba kukumbushwa

kigwangala ni mnafiki sana.!
Ni yeye huyu huyu alimtukana KUB matusi mazito mazito baada ya kususia kikao cha bunge kujadili ule muswada.!
Ati leo kinakuja kinajifanya kinamshauri rais asisaini muswada?? Kwani ni lini rais amesema anataka kuusaini??? Mbona ishakuwa wazi kuwa rais anaurudisha muswada bunngeni.!!
 
kweli wabunge ndiyo hao wanaitikia tukila jambo
 
Nimeamini wabunge wa ccm kwa unafiki ni noma! Huyu Hamis kigwangallah ndo aliongoza mashambulizi bungeni ya kumtukana mbowe na wabunge wa upinzani je hakuona umuhimu wa hilo? Allah amjalie busara na hekima!
 
Jamaa anafahamu kuwa ZZK yuko tabora, so anajiweka safe side asije "kuchanwa chanwa" kama Pinda kule katavi.!
 
Alafu huyu ati ndo wanasema ni moja kati ya 'vichwa' vya Team Membe.!? Kweli Team Membe choka mbaya
 
Kwanza ninamashaka na huyu Hamisi kama kweli hamalizi spirit na dawa zingine zenye kulewesha zinazotumika huko ktk kuperesheni wagonjwa kwa kunywa,kujidunga au kunusa huko maabara! Maana sijawahi kumuelewa kabisa huyu mtu.
 
"ningekuwa mshauri wa raisi jakaya kikwete kuhusu muswada wa sheria ya mabadiliko ya katiba,ningemshauri asisaini sheria hiyo iliyopitishwa na bunge mwezi uliopita"

"ushauri wangu unazingatia lengo moja kubwa:kutengeneza muafaka wa kitaifa, na kwa maana hiyo makundi yote ndani na nje ya bunge ni muhimu kusikilizwa katika kufikia lengo.."

atumegemei raisi asiwasikilize wapinzani na wadau wengine..kuwasikiliza ndiyo uongozi.nilazima awasikilize wote na atafute usawa kwenye mizania ya haki ili kuwe na muafaka wa kitaifa kwenye zoezi hili nyeti..

....."raisi kikwete asisaini kwa faida ya kuondoa uwezekano wowote ule wa kutengeneza matabaka ya wabunge walio wengi ( majority) kutokufurahishwa na hatua hiyo.

Pili, kwa kuwa kulikuwa na wabunge wachache(minority)..na kwa kuwa katika demokrasia yoyote ile yenye afya nzuri maoni na sauti za wachache ni lazima visikilizwe kwa umakini zaidi ya wale walio wengi.."

huyu bw khamisi kingwangala,ni mnafki sana,nakumbuka wakati,nccr,cuf,na cdm,walipotoka bungeni,yeye na wenzake wa ccm waliendelea kuchangia,na yeye alipopata nafasi ya kuchangia aliwashambulia wapinzani,kwa mipasho na kusisitiza ni lazima rais ausaini,sasa leo amegeuka kinyonga?au ndio unafiki wa chama cha mapinduzi??????
 
kwanza ninamashaka na huyu hamisi kama kweli hamalizi spirit na dawa zingine zenye kulewesha zinazotumika huko ktk kuperesheni wagonjwa kwa kunywa,kujidunga au kunusa huko maabara! Maana sijawahi kumuelewa kabisa huyu mtu.

ni majanga,meku,
 
Kigwangalla amekuwa mnafiki ujanani ni dhahiri uzeeni atakuwa mchawi.
Gazeti la Mawio la wiki hii kuna makala ya bwana huyu akimshauri rais asisaini muswada wa mabadiliko ya katiba.Je wakati muswada unapitishwa bungeni Kigwangalla mbona hukuyaongea haya na badala yake ulimshambulia Mbowe.
Lakini pia katika suala la madawa ya kulevya ni huyuhuyu Kigwangalla aliyesikika akisema mwenye majina ampelekee yeye atayataja hadharani.
POLENI WATU WA NZEGA KWA KUWA NA MBUNGE MNAFIKI
 
Huyu mtu Said(Hamis) kigwangallah sishangai kutokua mnafiki kwa sababu hata soma yake si ya kizalendo aliiba vyeti na akabadilisha jina (source baba yake) So mtu kama huyu hata siku moja hawezi kua na udhalendo wa taifa hili kapitia mkondo ule ule wa FAMILIA YA PANYA

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Nna shaka na ubongo wa HK,kuna haja ya kuongeza kipengele cha check up ya afya ya akili ktk fomu za ubunge.
 
Back
Top Bottom