Hamis Mwinjuma (Mwana FA) apewe Uwaziri kamili wizara ya Sanaa na michezo

Hamis Mwinjuma (Mwana FA) apewe Uwaziri kamili wizara ya Sanaa na michezo

Aongeze kuimbaa...
IMG-20241007-WA0000.jpg
 
Kama sikosei, juzi juzi kwenye hiyo wizara kapelekwa mtu kutoka wizara ya mifugo
 
Umaarufu wake na ushiriki wake kwenye mambo ya Sanaa na michezo ni muda muafaka wa kumpa majukumu rasmi ya wizara. Uzi huu utumike kama rejea. Uzi tayari.
Hivi akili zenu huwa mnaziacha wapi hadi kuandika utumbo huu? MwanaFA apewe uwaziri kwa kipi hasa alichofanikisha kwenye u-Naibu?

Kwa taarifa yako hata ubunge mwaka 2025 hatoboi. Kwenye kura za maoni ya CCM ndiko atakapodhibitiwa
 
Umaarufu wake na ushiriki wake kwenye mambo ya Sanaa na michezo ni muda muafaka wa kumpa majukumu rasmi ya wizara. Uzi huu utumike kama rejea. Uzi tayari.
Me najua yeye ndiye waziri, kumbe
 
Back
Top Bottom