johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Mataga. ...sometimes mnajitambuaga.Kwa namna Uchaguzi Mkuu wa 2020 ulivyoandaliwa na kwa tuliyoyaona hadi kuyasikia nikiona Mtu 'anajitapa' kuwa alishinda kweli ninamshangaa.
Nyie ndio maadui zake wa kisiasa!Huyo Mpuuzi awe anafunga Bakuli lake.
Tunaongozwa na watu wangaji Sana.Tangu lini askari akampigia salute mbunge kumbe huyu jamaa ni kilaza kiasi hiki yeye naye atajiita serkali .poor and sillyM
Nyie ndio maadui zake wa kisiasa!
Mkweli usiyetaka unafiki umerudi,Kwa namna Uchaguzi Mkuu wa 2020 ulivyoandaliwa na kwa tuliyoyaona hadi kuyasikia nikiona Mtu 'anajitapa' kuwa alishinda kweli ninamshangaa.
Tangu lini askari akampigia salute mbunge kumbe huyu jamaa ni kilaza kiasi hiki yeye naye atajiita serkali .poor and silly
Kumbe hawa wabunge wa CCM vilaza hivi.
Eti anapigiwa salute na askari[emoji849]
Hahahaaaa........!ni wewe ndio hujui kitu mkuu
Mbunge anapigiwa saluti na askari wa jeshi mwenye nyota 3?dear, mbunge au kiongozi yeyote wa kisiasa anapigiwa salute na askari wa majeshi yote hii ni sheria kabisa, kuna kipindi hata ndugai aliizungumzia
Mbunge anapigiwa saluti na askari wa jeshi mwenye nyota 3?
Nakataa kabisa Yohana mbatizaji!
HujamboDuuhh kumbe wasafi pale wote vichwa vyao vinafanana ni wamejaza matope kichwan.
Concern yangu sio wao kupigiwa saluti au laa!...dear, mbunge au kiongozi yeyote wa kisiasa anapigiwa salute na askari wa majeshi yote hii ni sheria kabisa, kuna kipindi hata ndugai aliizungumzia
Hujui unachokiongea Kama CDF Mabeyo anampigia salute mkuu wa wilaya jokate, Sembuse mbunge!!Tangu lini askari akampigia salute mbunge kumbe huyu jamaa ni kilaza kiasi hiki yeye naye atajiita serkali .poor and silly
Mbona unamlani hivyo. Si ndio wabunge mliwachagua hao tena akapita bila kupingwaTangu lini askari akampigia salute mbunge kumbe huyu jamaa ni kilaza kiasi hiki yeye naye atajiita serkali .poor and silly