Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Wote ni watoto wa MZEE NYANGEDuuhh kumbe wasafi pale wote vichwa vyao vinafanana ni wamejaza matope kichwan.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wote ni watoto wa MZEE NYANGEDuuhh kumbe wasafi pale wote vichwa vyao vinafanana ni wamejaza matope kichwan.
Amesema taifa linamtegemea kwa ubunifu!Mbunge asiyeweza kufua pichu zake.
Hahahaaaa........ Msema kweli ni mpenzi wa Mungu bwashee!
Kafara vinatolewa unavyovipenda sana, Hata Ibrahim alipewa mtihani wa kumtoa kafara mtoto wake kipenzi Ismael ila Mungu alimpa majaribio akampa mbadala, waganga hawana mbadala toa unachopenda sana 🤣 🤣 🤣 🤣🤣Mlitegemea aseme "ndiyo nilimtoa mke wangu kafara ".Huyu pamoja na ubunge kuupata hatokaa apate amani moyoni mwake. Eti mkewe alimwambia asioe. Ikute mganga wake ndo kamwambia asioe. Haiji akilini utoe kafara halafu uoe tena 🤣🤣🤣
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] nimecheka sanaNyie ndio maadui zake wa kisiasa!
Nimekuelewa bwashee!Maswali mengine wala sio yakuuliza. Sasa tuseme ni kweli kamtoa kafara unategemea atajibu ndio nimemtoa kafara? kitu kinachonikera huyu mtu ana act na ana sura fulani ya mtu sio wa kuaminika. kwanini watu wamtilie mashaka hajiulizi tu? wangapi wanafiwa hata viongozi kwanini yeye. Mimi sisemi ni kweli hapana ila tabia za mtu zinakuja kukuweka katika mashaka kama haya. maadui zake kina nani wakati ubunge kapita bila kupingwa. Sababu ya yote hata anaviashiria vya ushirikina anavyo na face expression yake sio mtu wa kumuamini ni mtu fulani hayuko real. Huyu mtu simjui hajawahi kunifanyia kitu chochote lakini kuna ile hali mtu unaweza kumchukia mtu bila sababu kwa kumuangalia tu basi ndio mimi, sio dhambi hata mimi mtu anaweza tu asinikubali bila sababu ila ukiona wengi wanakutilia mashaka basi jiangali. lolote linawezekana. kuna watu tunasikia walitoa kafara na nasikia sharti la kafara unatoa unachokipenda zaidi sio unachokichukia. Haya yanasemwa tu sina ushahidi.
Mkuu mbunge anapigiwa saluti ila akiwa bungeni na jimbonj kwake mfano kama ofisi yake ipo wilayani.Tangu lini askari akampigia salute mbunge kumbe huyu jamaa ni kilaza kiasi hiki yeye naye atajiita serkali .poor and silly
Anapigiwa saluti na ofisa wa jeshi?Mkuu mbunge anapigiwa saluti ila akiwa bungeni na jimbonj kwake mfano kama ofisi yake ipo wilayani.
Tunaongozwa na watu wangaji Sana.
Tangu lini mbunge anapigiwa saluti na hata akipigiwa ni Nini kubwa? Kwahiyo kwake yy saluti ni ishu sana.
Mbunge anapigiwa saluti ya mkono toka kwa CO ni anapiga kama kawaidaTangu lini askari akampigia salute mbunge kumbe huyu jamaa ni kilaza kiasi hiki yeye naye atajiita serkali .poor and silly
Kiongozi /Mteuliwa wa serikali km Mbunge au Mkuu wa Wilaya wanapigiwa saluti ndio maana wanatembea na agari yenye bendera ya Taifa katika maeneo yao ya kujidai, sijajua km Diwani yumoAnapigiwa saluti na ofisa wa jeshi?
mbunge hapigiwi salute na askari wa aina yyte ile hata mgambodear, mbunge au kiongozi yeyote wa kisiasa anapigiwa salute na askari wa majeshi yote hii ni sheria kabisa, kuna kipindi hata ndugai aliizungumzia
mbunge hapigiwi salute na askari wa aina yyte ile hata mgambo
umeenda chaka mkuu, mbunge hapigiwi salute na Askari wa aina yyte ile, huyo pichani sio mbunge huyo ni mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama wilaya DC kama unabishi nipe picha yyte ya mbunge akipigiwa salute hapaKiongozi /Mteuliwa wa serikali km Mbunge au Mkuu wa Wilaya wanapigiwa saluti ndio maana wanatembea na agari yenye bendera ya Taifa katika maeneo yao ya kujidai, sijajua km Diwani yumo
View attachment 1689795
View attachment 1689796
Wabunge wa nchi gani hao wanaopigiwa saluti? Nimecheka wallah[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mbunge wa Morogoro kusini mashariki mh Hamis Taletale aka Babu Tale akijibu swali la mtangazaji Salama Jabir wa Eatv kama kuna ukweli wowote wa habari zilizoeneaga kwamba amemtoa kafara mkewe ili apate ubunge Taletale amesema huo ni uzushi mtupu na alishaupuuza.
Babu Tale amesema hizo zilikuwa ni propaganda tu za maadui zake wa kisiasa lakini wamefeli kwani yeye ni mbunge aliyepita bila kupingwa na ameshaapishwa na sasa anapigiwa saluti na askari wenye nyota mabegani.
Mh Taletale amesema kwa sasa amefocus kuliletea maendeleo jimbo lake ambalo lina matatizo makubwa ya miundombinu ya barabara na ameshamwomba Rais Magufuli amsaidie.
Chanzo: Eatv
Maendeleo hayana vyama!
wabunge ndio walikua wanalalamika kwanini ma DC wanapigiwa salute ila wao hawapigiwi, mmoja wapo alikua ni Godbles Lema, lakini haikupitishwa,kwanini unabisha mkuu wakati nimewahi kuona hii kitu na hata job ndugai aliizungumzia mwaka jana