mbunge sio mteule wa Rais, na hamuwakilishi Rais popote pale, mteule wa Rais anayemuwakilisha Rais katika ngazi fulani ndio anayepigiwa salute tu, nao ni kama DC, RC na WaziriKiongozi /Mteuliwa wa serikali km Mbunge au Mkuu wa Wilaya wanapigiwa saluti ndio maana wanatembea na agari yenye bendera ya Taifa katika maeneo yao ya kujidai, sijajua km Diwani yumo
View attachment 1689795
View attachment 1689796