GUI1
JF-Expert Member
- Oct 4, 2017
- 4,007
- 5,290
Mkuu ni wewe au?Kwa namna Uchaguzi Mkuu wa 2020 ulivyoandaliwa na kwa tuliyoyaona hadi kuyasikia nikiona Mtu 'anajitapa' kuwa alishinda kweli ninamshangaa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu ni wewe au?Kwa namna Uchaguzi Mkuu wa 2020 ulivyoandaliwa na kwa tuliyoyaona hadi kuyasikia nikiona Mtu 'anajitapa' kuwa alishinda kweli ninamshangaa.
Concern yangu sio wao kupigiwa saluti au laa!...
Mimi nashangaa yeye kupigiwa salute anaona maisha kayapatia kwelikweli[emoji3]
Tale ulikua unaenda Bagamoyo kwa kina Maarifa wale waganga wa kijiji cha Buma pale Pembeni ya chuo cha Kilimo kufanya nini 2019 kila mwezi siku ya alkhamisi usiku.
Yule kijana aliekua anakupa makombe na kukuogesha dawa usiku unamkumbuka. Basi ni moja ya walinzi wa shamba langu hapo jirani upande wa mashariki.
ULIMTOA KAFARA MKEO. Ukileta ubishi naweka namba ya Kijana mumpigie.
Kwa namna Uchaguzi Mkuu wa 2020 ulivyoandaliwa na kwa tuliyoyaona hadi kuyasikia nikiona Mtu 'anajitapa' kuwa alishinda kweli ninamshangaa.
Tapeli alafu lipia tangazo.Tale ulikua unaenda Bagamoyo kwa kina Maarifa wale waganga wa kijiji cha Buma pale Pembeni ya chuo cha Kilimo kufanya nini 2019 kila mwezi siku ya alkhamisi usiku.
Yule kijana aliekua anakupa makombe na kukuogesha dawa usiku unamkumbuka. Basi ni moja ya walinzi wa shamba langu hapo jirani upande wa mashariki.
ULIMTOA KAFARA MKEO. Ukileta ubishi naweka namba ya Kijana mumpigie.
Ndio alisema afisa wa jeshi anampigia saluti mbunge?fuatilia uzi upo humu wa speaker akilielezea hilo
Tapeli alafu lipia tangazo.
Ogopa sana matapeli.Hujui unachoandika Wewe. Nyamaza ndegelesiiii
mkuu futa hii comment unamuharibia huyo kijana
Nimefuta Mkuu ila wasidhani hatujui wanavyofanya eti wanajisifia kuwa wabunge. Prokafanxrori
Nimefuta Mkuu ila wasidhani hatujui wanavyofanya eti wanajisifia kuwa wabunge. Prokafanxrori
Zamani nilijua ni Wakinga ndio huwachukua wapendwa wao " misukule" kumbe nilijidanganya sana!ni vigumu watu wote hao wamsingizie lisemwalo lipo
Naomba nitajie hiyo sheria pleasedear, mbunge au kiongozi yeyote wa kisiasa anapigiwa salute na askari wa majeshi yote hii ni sheria kabisa, kuna kipindi hata ndugai aliizungumzia
Hakuna hiyo sheria bwashee!Naomba nitajie hiyo sheria please
Babu Tale amelia sana alipoulizwa swali la kafara na Salama!Lisemwalo lipo.
johnthebaptistMkweli usiyetaka unafiki umerudi,
Nataka nikukumbushe kwamba ndugu yako aliyekuwa anasifika kwa kutokuwa mnafiki (johnthebatist) siku hizi ana Masters ya Unafiki aliyohtimu Chuo kikuu cha Chattle.