Hamis Talatale: Sijamtoa kafara mke wangu ili nipate ubunge, nilimpenda sana haina mfano!

Mambo ya kafara tena?! Yanaongewa na Mbunge wa JMT?! Katika yote kaona aongee hayo?! Kweli kazi ipo..
 
Swali kwako, ww unaweza kuua mtu kwa sababu ya cheo?
 
dear, mbunge au kiongozi yeyote wa kisiasa anapigiwa salute na askari wa majeshi yote hii ni sheria kabisa, kuna kipindi hata ndugai aliizungumzia
Wabunge wa upinzani hawapigiwi salute
 
Tale katimiza vigezo vya ccm,kutoa kafara ili kupata nafasi
 
Tangu lini askari akampigia salute mbunge kumbe huyu jamaa ni kilaza kiasi hiki yeye naye atajiita serkali .poor and silly
Ndio wajinga level za hapa kazi tu,[emoji870]tenaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…