Hamisa aonesha tiketi ya ndege akielekea Dubai

Hamisa aonesha tiketi ya ndege akielekea Dubai

Kwani ye ndo wa kwanza...?!![emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] hebu acha chuki hizo mambo za kawaida sana au kwa kua Missa majii...aliyepewa kapewa...usicheze na USA bwana!!!!! Sio km safari zenu za Rwanda,South Africa,Kenya ni USA kwa trumph....!!!!hail to Missa mmaaa

Nyie washamba ndo mnababaika na US , Mimi US nilienda kusoma mwaka mzima, sio trip zenu za kudanga , tena siku tatu , washamba nyie , na nimepanda airlines za maana , yani nyie waswahili na washamba hamisa ndio role model wenu , Leo kaenda US basi dunia nzima mnataka ijue

Watu wanaenda US kununua saa na kurudi, sio nyie malaya mpaka mkatobolewe nyuma ndo mwende Us maskini wa kubwa nyie
 
Nyie maskin kwenu ndio vitu Vikubwa ndio maana mnapost , washamba nyie mxieeew uswahili tu
Sawaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] we tajiri kawaida tuache na umaskini wetuuu
 
Nyie washamba ndo mnababaika na US , Mimi US nilienda kusoma mwaka mzima, sio trip zenu za kudanga , tena siku tatu , washamba nyie , na nimepanda airlines za maana , yani nyie waswahili na washamba hamisa ndio role model wenu , Leo kaenda US basi dunia nzima mnataka ijue

Watu wanaenda US kununua saa na kurudi, sio nyie malaya mpaka mkatobolewe nyuma ndo mwende Us maskini wa kubwa nyie
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hamisa is ur panick batani...pyeeee!!hakuna chambo jipyaaaa!!!!yote yaleyale
 
Sasa watu tumepanda mpaka British airways , na kama ujui This time of the year , kuna punguzo emirates , nyie washamba ambao hamjawahi ku panda ndege ndo mnababaika, hizo emirates nimezipanda sana Safar zangu za dubai , Thailand , UK , yan inshort hakuna kitu utanidanganya kuhus ndege , mpaka bei zao nazijua, washamba nyie , hata air Tanzania tu hamjawahi kupanda ndio maana mnashadadia ujinga
Hahahaaaa!!!wewe bwana hakuna asokujua humuu...ukimchukia mtuu...hunipi shida miyee
 
Sasa watu tumepanda mpaka British airways , na kama ujui This time of the year , kuna punguzo emirates , nyie washamba ambao hamjawahi ku panda ndege ndo mnababaika, hizo emirates nimezipanda sana Safar zangu za dubai , Thailand , UK , yan inshort hakuna kitu utanidanganya kuhus ndege , mpaka bei zao nazijua, washamba nyie , hata air Tanzania tu hamjawahi kupanda ndio maana mnashadadia ujinga
try to respect people no matter wo u are ,,hunijui sikujui full respect!!
 
IMG_8811.JPG

Hatukatai kupiga picha passport , mastaa wengi wanapiga tu , Ila Tatizo ndugu yenu ushamba, nani anapanua passport vile jaman?? 🤣🤣🤣, yani nimecheka kidogo nife, yani anaonyesha kila kitu , majina yake visa 🤣🤣🤣, Ila jaman ushamba mzigo , angalien kwenye picha mfano wa pose za passport

Na nyie wambea ebu tafuten picha ya mastaa wowote wa kubwa wakisafir uone passport zao wanaziwekaje, sio nyie washamba mnamanua passport nzima , mxieww

Tungemuona wamaana angekua anaonyesha kadi ya kiwanja au nyumba ndo tungemuona mjanja , mxieew , ndio maana limeachwa linaaanza kuroga
 
Ila wabongo washamba , ndio maana mange anawapanda kichwani anawaambia muandamane🤣🤣🤣, maana sio kwa ushamba na ujinga wenu🤣🤣🤣
 
Angefunika tu passport akaonyesha ticket tu kuwa kapanda emirate business class , sasa ndugu yenu Akaona haiotoshi🤣🤣🤣🤣🤣, akamanua passport nzima , Ila shule nzuri jaman , Leo ndio nimeamin🤣🤣🤣
 
Me sioni tatizo, hata wewe unaruhusiwa kufanya hivyo.
 
Watu tunapanda mpaka ndege za kivita na hatujawai ata kupiga picha yeye kupanda tu business class kajiona yupo mbinguni... kweli alie sema uswahili wa mobeto ni wa kiwango cha lami hakukosea
 
Watu tunapanda mpaka ndege za kivita na hatujawai ata kupiga picha yeye kupanda tu business class kajiona yupo mbinguni... kweli alie sema uswahili wa mobeto ni wa kiwango cha lami hakukosea

Binamu nimekuogopa🤣🤣🤣, umepanda mpaka ndege za kivita? Shikamoo🤣🤣, usije ukanimanua kama passport ya hamisa 🤣🤣
 
Back
Top Bottom