Hamisa aonesha tiketi ya ndege akielekea Dubai

Hamisa aonesha tiketi ya ndege akielekea Dubai

Binamu nimekuogopa[emoji1787][emoji1787][emoji1787], umepanda mpaka ndege za kivita? Shikamoo[emoji1787][emoji1787], usije ukanimanua kama passport ya hamisa [emoji1787][emoji1787]
Binamu hamissa ni mswahili wa kiwango cha juuu[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Yan hapa mwili umesisimka mbea wangu 🤣🤣🤣, miss you sana pacha wangu , siku hiz umeokoka nini , maana unajifanya upendi umbea 🤣🤣
Ahhaahhaha binam nimeokoka kidogo [emoji23][emoji23][emoji23]
 
People they snap their passport , that's very Normal, but you don't unfold details zako personal , yani ni ulimbuken wa Hali ya juu, eti anaonyesha jina lake na stamped visa , Ila wabongo in general ni washamba , sio mastaa tu
Unaongea cha maana watu wanaleta utimu ndio wanazdi kumuharibu, yule Mtoto ni mshamba sana, kamenitoka tangu kaliposema ati wanamuonea wivu kuzaa na matajiri, wako wapi sasa,? Wamembwaga kabaki kudanga, matajiri wenyewe kumbe aliwapata kwa ushirikina.
 
Unaongea cha maana watu wanaleta utimu ndio wanazdi kumuharibu, yule Mtoto ni mshamba sana, kamenitoka tangu kaliposema ati wanamuonea wivu kuzaa na matajiri, wako wapi sasa,? Wamembwaga kabaki kudanga, matajiri wenyewe kumbe aliwapata kwa ushirikina.

Mwenzangu , bibie alikua Ana nyodo utadhan sultana nakwambia, mtoto alikua ananata, anamtukana mpaka zari aliyeenda kuaribu mahusiano yake mxieew
 
Aaaaah , binamu we wanijua, ahsante 🤣🤣
Binamu mi nakujua vema, na jinsia yako naipata vema kama sio ya kike basi ni ya kiume lazma, haiwezi kuwa mbali na hapo hahahaha siku hizi umeamua kutindiganya mambo humu
 
Umemwonea wivu mwenzio ndiyo hivyo anasonga mbele utabaki tu na kusema hana akili anachokifanya anajua mwenyewe mambo ya fb unayaleta huku au wewe tem zali pole weee
 
Muache akagogwe unamuonea wivu mwenzio anaenda kutombw* eeeee

Pambana na ww zamu yako itafika tu ukaukalie mkurungu Oman
 
Mi nafkiriaga khs hili,nakosa majibu nadhani madanga yanawakataza kunujua viwanja au kufanya maendeleo,yanataka pesa yao iwe ya kustarehe tu,manake ukiangalia Irene Uwoya nae anakula bata lkn hana pa kusema hapa ndio kwangu hivi cjui wapoje hawa watu

Shule hakuna kichwani hawa mbona wadangaji wa kinigeria na south africa wanafanya poa mpaka unapenda
Tafuta slay queen hawa bonang matheba, kefwile,tonto dike, toke
 
Ulimbukeni na ushamba tatizo sugu kwa Watanzania. Hivi dada hetu siangesafiri tu bila ya kutangaza
 
Back
Top Bottom