Binamu hamissa ni mswahili wa kiwango cha juuu[emoji23][emoji23][emoji23]Binamu nimekuogopa[emoji1787][emoji1787][emoji1787], umepanda mpaka ndege za kivita? Shikamoo[emoji1787][emoji1787], usije ukanimanua kama passport ya hamisa [emoji1787][emoji1787]
Ahhaahhaha binam nimeokoka kidogo [emoji23][emoji23][emoji23]Yan hapa mwili umesisimka mbea wangu 🤣🤣🤣, miss you sana pacha wangu , siku hiz umeokoka nini , maana unajifanya upendi umbea 🤣🤣
Hahahha ukome pambaffffMwanamke mrembo kichwani hamna kitu mxieew , ushamba tu , sijui hamisa Ana undugu na wasukuma🤣🤣
Amefurahi sio mbaya (Hongera Hamisa)Mwanamke mrembo kichwani hamna kitu mxieew , ushamba tu , sijui hamisa Ana undugu na wasukuma🤣🤣
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nyoo, kipendacho roho au umaskin🤣🤣🤣
Unaongea cha maana watu wanaleta utimu ndio wanazdi kumuharibu, yule Mtoto ni mshamba sana, kamenitoka tangu kaliposema ati wanamuonea wivu kuzaa na matajiri, wako wapi sasa,? Wamembwaga kabaki kudanga, matajiri wenyewe kumbe aliwapata kwa ushirikina.People they snap their passport , that's very Normal, but you don't unfold details zako personal , yani ni ulimbuken wa Hali ya juu, eti anaonyesha jina lake na stamped visa , Ila wabongo in general ni washamba , sio mastaa tu
Unaongea cha maana watu wanaleta utimu ndio wanazdi kumuharibu, yule Mtoto ni mshamba sana, kamenitoka tangu kaliposema ati wanamuonea wivu kuzaa na matajiri, wako wapi sasa,? Wamembwaga kabaki kudanga, matajiri wenyewe kumbe aliwapata kwa ushirikina.
Binamu mi nakujua vema, na jinsia yako naipata vema kama sio ya kike basi ni ya kiume lazma, haiwezi kuwa mbali na hapo hahahaha siku hizi umeamua kutindiganya mambo humuAaaaah , binamu we wanijua, ahsante 🤣🤣
Kama kuna jambo huwa sielewi ni kuhusu huyu mtu anayejiita Warumi, sijui kama ni Me au Ke!...
Ni mwanaume wa Dar mkuu!
Duh!Mwandiko wa mwanamme unajulikana na mwandiko wa mwanamke unajulikana.
Mi nafkiriaga khs hili,nakosa majibu nadhani madanga yanawakataza kunujua viwanja au kufanya maendeleo,yanataka pesa yao iwe ya kustarehe tu,manake ukiangalia Irene Uwoya nae anakula bata lkn hana pa kusema hapa ndio kwangu hivi cjui wapoje hawa watu