Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu hivi kuna wadada wataisoma hii kweli au mbona kama wanaipotezea Mkuu... You have said alll thanksNinachojua tu ni kwamba kwa Mwanaume / Mzazi mwenye akili, anayejitambua na mwenye maadili ya Kutukuka hawezi kukubali kuacha Mtoto wake alelewe na Hamisa Mobeto. Hamisa Mobeto ni Kielelezo tosha cha Mabinti / Wanawake hopeless wanaopatikana sana Kusini mwa Jangwa la Sahara ambao uwezo wao wa Kufikiri unaishia tu Kitandani na Bafuni.
Hater[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Ni bora tu
Maana labda alianza kumrushia yeye hasira kwa kuona kamkosa Diamond. Kawaona D na Z wapo England kikazi kaweuka tena.. na kutaka kujaribu kuwaharibia safari yao ila anagonga mwamba. Jingaaaaaa
True!Majay awekeze kwenye malezi na elimu mtoto ni mzuri sana.
Umeongea sahihi kabisa!hivi mnaomsema Hamisa
huyo diamond ana tabia njema gani?
huyo zari ana tabia njema gani?
huyo mama diamond ana tabia gani njema?
acheni kumpiga mawe mtoto wa watu!!!
hawezi kuamua vita ya panga kwa fimbo.
unapoamua kukimbizana na vichaa lazima ujitoe ufahamu!!
hio familia ya madale bila dongo juu ya dongo huwezi ishi nao!!!!
kila siku wao wanamwaga mboga, sasa wamepata wa kumwaga ugali!!!
huyo zarina juzi tu katoa live video anamdiss hamisa, kwahiyo yeye ndio mwema????
muacheni hamisa mimba hakujibebesha mwenyewe!! mtt ana baba yule mwacheni am-take care!!!!
Mkuu hivi kuna wadada wataisoma hii kweli au mbona kama wanaipotezea Mkuu... You have said alll thanks
Nadhani Hamisa ajikite Kwenye shughuli binafsi zakumuongezea Kipato itamuweka nafasi nzuri. Unajua hata ukifanya mambo ya kitoto Ukiwa na Pesa watu hawaoni Ila Ukiwa huna alafu ukifanya mambo ya kijinga unazidi kuonekana mjinga.Umeongea sahihi kabisa!
Tatizo wabongo wengi tuna nyoyo dhaifuu mnoo!chuki husda na roho mbaya mnoo
Wengi wanamchukia hamisa kwa kua kazaa na diamond
Hilo ndo tatizo wengi wamechukia kwa kua hawakutegemea kama atazaa na mbongo tena hamisa mobeto bad enough mondi kamkubali mtoto[emoji2] [emoji2] [emoji2] na wanafanana mbaya!!
Huyo zari matoto matatu ya mwanaume mwingine hawamwiti incubator!
Mama mtu mzima anajikojoza kwenye video hawalioni hilooi
Ptuuu watakufa na roho zao mbaya
Ila kuna mtoto mzuri sana!!!..refer comment yako ya awaliElimu na malezi ni jukumu la mzazi na mtoto ni zawadi hakuna mtoto mbaya
🙁🙁🙁🙁🙁🙁Child support itapungua aisee. Asikubali, aende mahakamani!
Wabongo tuna tabia ya kushobokea wa nje na kuwaponda wetu!Nadhani Hamisa ajikite Kwenye shughuli binafsi zakumuongezea Kipato itamuweka nafasi nzuri. Unajua hata ukifanya mambo ya kitoto Ukiwa na Pesa watu hawaoni Ila Ukiwa huna alafu ukifanya mambo ya kijinga unazidi kuonekana mjinga.
Kabisa yaaani sisy agiza soda ntalipa Mimi kwa mangiHamisa angekuwa mkenya ama mnigeria mwenye watoto wa4 na baba mwingine,halafu azae na domo wabongo wangempongeza sana,hahahahah
Wangesema ana akil,smart,ana hela na kila sifa angepewa.
Hawa ndo wabongo ,hadi aibu kujitambulisha kama mtz kwa mataifa mengine.
Umemaliza mkuu...Ninachojua tu ni kwamba kwa Mwanaume / Mzazi mwenye akili, anayejitambua na mwenye maadili ya Kutukuka hawezi kukubali kuacha Mtoto wake alelewe na Hamisa Mobeto. Hamisa Mobeto ni Kielelezo tosha cha Mabinti / Wanawake hopeless wanaopatikana sana Kusini mwa Jangwa la Sahara ambao uwezo wao wa Kufikiri unaishia tu Kitandani, katika Dressing table na Bafuni.
Mhhhh..... Inabidi Domo kamforce Hamissa kuzaa nae au Hamisa alitaka kuzaa na Domo? Hakujibebesha mwenye mhhhhmuacheni hamisa mimba hakujibebesha mwenyewe!! mtt ana baba yule mwacheni am-take care!!!!
Umejibu kihekima sana mkuuElimu na malezi ni jukumu la mzazi na mtoto ni zawadi hakuna mtoto mbaya