Tetesi: Hamisa kanyang'anywa mtoto na Majizo!!

Tetesi: Hamisa kanyang'anywa mtoto na Majizo!!

Mwambie huyo

I wonder if he/she had put anything in her/his mouth since morning

Miserable creatures feeling pain for someone else's headache

Problem of having too much time on their plate
Kuchamba kwingi Mwisho unaondokaa naaa...............

Kujifanya Hampendi umbea kutwa mnachungulia celebrity forum, wao wenyewe maisha yao wameyageuza maonyesho.
 
Mwambie huyo

I wonder if he/she had put anything in her/his mouth since morning

Miserable creatures feeling pain for someone else's headache

Problem of having too much time on their plate
You brag a lot my dear,,,classy,education, career and cash,,,this is one thing I hated DSM,everyone thinks he/she is stinky rich and classy,,,
My sister disagree to agree or vice versa with logic and not bragging,,,,
Btw I dated a Lady living at ntinda,Kampala with a name similar to yours,,,she was bae
Unawaaibisha all latoya's
 
Hahaha mie napiga Windhoek barid,na vile niko likizo sasa hivi itafaa kushushia hii nyama ya bata

Tatizo la wabongo ushamba,ulimbukeni,elimu ndogo na roho za kwann,kama kwenye huu Uzi asilimia 90 wanaitamani nafac ya misa sema ndio hivyo tena.

Mtu hajui hata mchana atakula nn unashinda JF kumponda mtu usiyemfikia hata robo.

Ukisoma comments zao utawaelewa,wengine walimu wa up,wengine beki3,wengine mariooo,wengine kama yule Mily wa Instagram hahaha,basi full tafran

Inabid uwazoee maisha yamewachapa hahaha kama nanihii naogopa kumtaja asijenitolea epovu,anakuwaga na hasila huyo hahaha

Hahaha Dada pambana na hali yako ,misa hakukufanya uwe beki 3 au mwalimu wa la 3 b kuleee hahahah

aiseee wwee..kunywa windhoek yko ..ukimaliza agiza nyingine naja kulipa......LAKINI MBNA KAMA UMENISEMA MIMI HIVI ...HAHAA
 
Hii ndio moja ya shida za kuzaa bila ndoa. Ukitaka kuzaa na kuishi single jipange, kudandia dandia na kuzalishwa kisiri siri kuna kero zake!
 
Hahaha mie napiga Windhoek barid,na vile niko likizo sasa hivi itafaa kushushia hii nyama ya bata

Tatizo la wabongo ushamba,ulimbukeni,elimu ndogo na roho za kwann,kama kwenye huu Uzi asilimia 90 wanaitamani nafac ya misa sema ndio hivyo tena.

Mtu hajui hata mchana atakula nn unashinda JF kumponda mtu usiyemfikia hata robo.

Ukisoma comments zao utawaelewa,wengine walimu wa up,wengine beki3,wengine mariooo,wengine kama yule Mily wa Instagram hahaha,basi full tafran

Inabid uwazoee maisha yamewachapa hahaha kama nanihii naogopa kumtaja asijenitolea povu,anakuwaga na hasila huyo hahaha

Hahaha Dada pambana na hali yako ,misa hakukufanya uwe beki 3 au mwalimu wa la 3 b kuleee hahahah
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] woyooooooo saaaafi

Muacheni hamisaaa tukubali matokeo na tukubali kupambana na hali zetu jamani
Ashapiga bao michaaa!

Yeye si wa kwanza wengine humu wana stress za kutelekezwa,kuachwa mabwana wa hovyo Marioo!

Shilole,Snura na Mona wana watoto mababa tofauti ila watu kimyaaa!
 
hivi mnaomsema Hamisa

huyo diamond ana tabia njema gani?
huyo zari ana tabia njema gani?
huyo mama diamond ana tabia gani njema?

acheni kumpiga mawe mtoto wa watu!!!
hawezi kuamua vita ya panga kwa fimbo.
unapoamua kukimbizana na vichaa lazima ujitoe ufahamu!!
hio familia ya madale bila dongo juu ya dongo huwezi ishi nao!!!!
kila siku wao wanamwaga mboga, sasa wamepata wa kumwaga ugali!!!
huyo zarina juzi tu katoa live video anamdiss hamisa, kwahiyo yeye ndio mwema????

muacheni hamisa mimba hakujibebesha mwenyewe!! mtt ana baba yule mwacheni am-take care!!!!
Ulimshikia miguu nn sio kwa povu hilo
 
You brag a lot my dear,,,classy,education, career and cash,,,this is one thing I hated DSM,everyone thinks he/she is stinky rich and classy,,,
My sister disagree to agree or vice versa with logic and not bragging,,,,
Btw I dated a Lady living at ntinda,Kampala with a name similar to yours,,,she was bae
Unawaaibisha all latoya's
Am sorry broda if I have offended u in anyway

Really sorry
 
aiseee wwee..kunywa windhoek yko ..ukimaliza agiza nyingine naja kulipa......LAKINI MBNA KAMA UMENISEMA MIMI HIVI ...HAHAA
Hahaha sijasema mtu bana lol

Nimestate facts tu

Pole kama nimekugusa lol
 
Ninachojua tu ni kwamba kwa Mwanaume / Mzazi mwenye akili, anayejitambua na mwenye maadili ya Kutukuka hawezi kukubali kuacha Mtoto wake alelewe na Hamisa Mobeto. Hamisa Mobeto ni Kielelezo tosha cha Mabinti / Wanawake hopeless wanaopatikana sana Kusini mwa Jangwa la Sahara ambao uwezo wao wa Kufikiri unaishia tu Kitandani, katika Dressing table na Bafuni.
Well said.
 
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] woyooooooo saaaafi

Muacheni hamisaaa tukubali matokeo na tukubali kupambana na hali zetu jamani
Ashapiga bao michaaa!

Yeye si wa kwanza wengine humu wana stress za kutelekezwa,kuachwa mabwana wa hovyo Marioo!

Shilole,Snura na Mona wana watoto mababa tofauti ila watu kimyaaa!
Si ndo hapo lol

Au waende gym kusweat kidogo kutasaidia

Kwan huyo domo alibakwa?eboohhh
 
Wana hasila hao

Hahaha

Wanywe biere wapunguze stress

Maisha yenyewe ya kibongo ndo haya haya lol
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] team tukinao wapo?!!!
Wapambane na hali zao!
 
Back
Top Bottom