Tetesi: Hamisa kanyang'anywa mtoto na Majizo!!

Hamisa namuona mjinga sbb aliamua kuzaa wkati bado yy mchepuko! Ujinga wa karne!
Haiwezekani we uwe wa kificho tu halafu kuna wanaotambulika!!?
Kwa hili alichemka !mwisho kudhalilishwa tu km hivi!
Pili hakujifunza kutoka mwanzo,ushazalishwa,tulua basi upate wa kwako unazaa tena na mtu mwenye mahusuano yake ambae unaona kabisa .....no no alichemka hapa

Abebe msalaba wake
 
Team zari wakisika jina la hamissa nahisi huwa wanakosa ata usingizi
 
Huenda majizo akimchukua atatafuta mwingine wa kuzaa naye, na hili la kila mtoto na baba yake haileti picha nzuri hata kidogo
 
Kabisa yaaani sisy agiza soda ntalipa Mimi kwa mangi
Hahaha mie napiga Windhoek barid,na vile niko likizo sasa hivi itafaa kushushia hii nyama ya bata

Tatizo la wabongo ushamba,ulimbukeni,elimu ndogo na roho za kwann,kama kwenye huu Uzi asilimia 90 wanaitamani nafac ya misa sema ndio hivyo tena.

Mtu hajui hata mchana atakula nn unashinda JF kumponda mtu usiyemfikia hata robo.

Ukisoma comments zao utawaelewa,wengine walimu wa up,wengine beki3,wengine mariooo,wengine kama yule Mily wa Instagram hahaha,basi full tafran

Inabid uwazoee maisha yamewachapa hahaha kama nanihii naogopa kumtaja asijenitolea povu,anakuwaga na hasila huyo hahaha

Hahaha Dada pambana na hali yako ,misa hakukufanya uwe beki 3 au mwalimu wa la 3 b kuleee hahahah
 
Katoto kazuri jamani
Kama mama yake hahaha

Ukiwachek watoto wa tukinao sasa

Lol halafu kutwa ajichetua mzuri,mbona products anazotoa haziendan naye?
Hahaha teach bleaching

Ukitaka jua mwanamke ni mrembo subiri watoto atakao zaa
 
Mabinti wa team za instagram
 
U

Umbea mtupu! ya kwenu hatuyajui ila kutangaza ya wengine ndiyo kimbelembele. (That is personal issue)
Mwambie huyo

I wonder if he/she had put anything in her/his mouth since morning

Miserable creatures feeling pain for someone else's headache

Problem of having too much time on their plate
 
Haaaaa haaaaa...mi nshamjua anaanza na "E"
 
U

Umbea mtupu! ya kwenu hatuyajui ila kutangaza ya wengine ndiyo kimbelembele. (That is personal issue)
Humu kwenye celebrity forum umefata nini kama wewe Mwenyewe sio mmbea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…