Kuchamba kwingi Mwisho unaondokaa naaa...............Mwambie huyo
I wonder if he/she had put anything in her/his mouth since morning
Miserable creatures feeling pain for someone else's headache
Problem of having too much time on their plate
hahahahaahaha,mtambo wa kuzalisha watotoMajanga ya ya Incubators, malipo kwa kutumia watoto kama vyanzo vya mapato, azae tena na lodi lofa mwingine!
Hahaha hahaha usinitafutie kesi banaHaaaaa haaaaa...mi nshamjua anaanza na "E"
You brag a lot my dear,,,classy,education, career and cash,,,this is one thing I hated DSM,everyone thinks he/she is stinky rich and classy,,,Mwambie huyo
I wonder if he/she had put anything in her/his mouth since morning
Miserable creatures feeling pain for someone else's headache
Problem of having too much time on their plate
Mkuu hivi kuna wadada wataisoma hii kweli au mbona kama wanaipotezea Mkuu... You have said alll thanks
Meona eeh..[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahaha hahaha usinitafutie kesi bana
Sitaki povu sina nguo chafu leo
Sijataja mtu
JF Raha sana lol
Hahaha mie napiga Windhoek barid,na vile niko likizo sasa hivi itafaa kushushia hii nyama ya bata
Tatizo la wabongo ushamba,ulimbukeni,elimu ndogo na roho za kwann,kama kwenye huu Uzi asilimia 90 wanaitamani nafac ya misa sema ndio hivyo tena.
Mtu hajui hata mchana atakula nn unashinda JF kumponda mtu usiyemfikia hata robo.
Ukisoma comments zao utawaelewa,wengine walimu wa up,wengine beki3,wengine mariooo,wengine kama yule Mily wa Instagram hahaha,basi full tafran
Inabid uwazoee maisha yamewachapa hahaha kama nanihii naogopa kumtaja asijenitolea epovu,anakuwaga na hasila huyo hahaha
Hahaha Dada pambana na hali yako ,misa hakukufanya uwe beki 3 au mwalimu wa la 3 b kuleee hahahah
Chupi na boksa zinawabana!!Team zari wakisika jina la hamissa nahisi huwa wanakosa ata usingizi
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] woyooooooo saaaafiHahaha mie napiga Windhoek barid,na vile niko likizo sasa hivi itafaa kushushia hii nyama ya bata
Tatizo la wabongo ushamba,ulimbukeni,elimu ndogo na roho za kwann,kama kwenye huu Uzi asilimia 90 wanaitamani nafac ya misa sema ndio hivyo tena.
Mtu hajui hata mchana atakula nn unashinda JF kumponda mtu usiyemfikia hata robo.
Ukisoma comments zao utawaelewa,wengine walimu wa up,wengine beki3,wengine mariooo,wengine kama yule Mily wa Instagram hahaha,basi full tafran
Inabid uwazoee maisha yamewachapa hahaha kama nanihii naogopa kumtaja asijenitolea povu,anakuwaga na hasila huyo hahaha
Hahaha Dada pambana na hali yako ,misa hakukufanya uwe beki 3 au mwalimu wa la 3 b kuleee hahahah
Unamjua monalisa?snura?shiloleHuyu dada ana matatizo sana kila anaezaa nae anamkimbia! Ajitazame sana
Ulimshikia miguu nn sio kwa povu hilohivi mnaomsema Hamisa
huyo diamond ana tabia njema gani?
huyo zari ana tabia njema gani?
huyo mama diamond ana tabia gani njema?
acheni kumpiga mawe mtoto wa watu!!!
hawezi kuamua vita ya panga kwa fimbo.
unapoamua kukimbizana na vichaa lazima ujitoe ufahamu!!
hio familia ya madale bila dongo juu ya dongo huwezi ishi nao!!!!
kila siku wao wanamwaga mboga, sasa wamepata wa kumwaga ugali!!!
huyo zarina juzi tu katoa live video anamdiss hamisa, kwahiyo yeye ndio mwema????
muacheni hamisa mimba hakujibebesha mwenyewe!! mtt ana baba yule mwacheni am-take care!!!!
inabid atoke na dr. louis (new billionaire in town)Majanga ya Incubators, malipo kwa kutumia watoto kama vyanzo vya mapato, azae tena na lodi lofa mwingine!
Am sorry broda if I have offended u in anywayYou brag a lot my dear,,,classy,education, career and cash,,,this is one thing I hated DSM,everyone thinks he/she is stinky rich and classy,,,
My sister disagree to agree or vice versa with logic and not bragging,,,,
Btw I dated a Lady living at ntinda,Kampala with a name similar to yours,,,she was bae
Unawaaibisha all latoya's
Hahaha sijasema mtu bana lolaiseee wwee..kunywa windhoek yko ..ukimaliza agiza nyingine naja kulipa......LAKINI MBNA KAMA UMENISEMA MIMI HIVI ...HAHAA
Well said.Ninachojua tu ni kwamba kwa Mwanaume / Mzazi mwenye akili, anayejitambua na mwenye maadili ya Kutukuka hawezi kukubali kuacha Mtoto wake alelewe na Hamisa Mobeto. Hamisa Mobeto ni Kielelezo tosha cha Mabinti / Wanawake hopeless wanaopatikana sana Kusini mwa Jangwa la Sahara ambao uwezo wao wa Kufikiri unaishia tu Kitandani, katika Dressing table na Bafuni.
Wana hasila haoChupi na boksa zinawabana!!
Si ndo hapo lol[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] woyooooooo saaaafi
Muacheni hamisaaa tukubali matokeo na tukubali kupambana na hali zetu jamani
Ashapiga bao michaaa!
Yeye si wa kwanza wengine humu wana stress za kutelekezwa,kuachwa mabwana wa hovyo Marioo!
Shilole,Snura na Mona wana watoto mababa tofauti ila watu kimyaaa!
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] team tukinao wapo?!!!Wana hasila hao
Hahaha
Wanywe biere wapunguze stress
Maisha yenyewe ya kibongo ndo haya haya lol