Hamisa Mabeto,kifaa kipya cha Diamond pPatnumz

Sema labda bado mbichi sarakasi za mchangani sijui saizi yakee
Atupigie zingine akiwa hana makeup tuonee

Nimeziona facebook ambazo hazijaphoto shopiwa za kawaida sana. Hizi za camera 360 hata usiziamini mwaya
 
Ila kamdomoo kakee mhhhhh!!!

mbona kako poa tu.
Tatizo nataman akazane na masomo huu umaarufu anaotafuta sidhan kama utamsaidia.
Na yeye atachezewa na diamand kama dada zake Wema na Penny.
 
Ila huyu demu ni balaa kama malaika mtoto softiiii no pimples..aiseh apo diamond kapat kifaa kwa kweli, na atakuwa amemsaidiaabeto kuwa kwenye chart maana kasota sana kusaka umaarufu aka kadenu
 
Ila huyu demu ni balaa kama malaika mtoto softiiii no pimples..aiseh apo diamond kapat kifaa kwa kweli, na atakuwa amemsaidiaabeto kuwa kwenye chart maana kasota sana kusaka umaarufu aka kadenu

Ushawahi kumuona malaikaa!!!,atakua chart kwelii magazeti kila siku
 
Ushawahi kumuona malaikaa!!!,atakua chart kwelii magazeti kila siku

Aka katoto nilikaona coco beach mmh ni mkali hatar maana kulikuwa na mademu kibao alivyoingia tu wote macho kwake,anavyotembea sasa dah halafu kanajipenda sana aka kabinti, she has a star look 100%, she is coming out soon na atawakimbiza vibaya na sasa yupo Nigeria anapiga picha kwa ajili ya jarida maarufu la mastaa nchini..huu mwaka wake wamuache tu
 
Ila huyu demu ni balaa kama malaika mtoto softiiii no pimples..aiseh apo diamond kapat kifaa kwa kweli, na atakuwa amemsaidiaabeto kuwa kwenye chart maana kasota sana kusaka umaarufu aka kadenu

yaani kwakweli ni mzuri sanaaaaa
 
Hawa ndiyo wale utadhani hawanyi wala kujamba aka fcuk dolls or bimbos. Bottom line of her physical beauty is her without the heavy make-up.
 
Mie naishi kijijini saaana Jamani msinielewe vibaya kwa swali langu!!!!

HIVI DAWA YA UKIMWI ISHAPATIKANA HUKO MJINI???????
 
Heri nawe useme. Km wanamweka na huddah wa prezzo saa yeye atakuwa mzuri
 
Wema ana kazi.nasikia Huyu hadi mamamkwe anamkubali. bonus tena

Mimi mwenzenu hata mama dayamondi naona kama vile simwelewi. Yaani yeye mlango wake uko wazi kila siku analetewa wakwe wapya anapokea! Mwe mamangu mie alivyo mnoko, kakangu alishawahitangaziwa kabisaaa kuwa siku akiwa na uhakika wa anachokitaka ndo akilete lakini sio leo huyu kesho huyu maana mama alisema yeye anao watoto wa kike sasa anahisi kama watakuwa wanachezewa kama kaka anavyotaka kuchezea wa wenzake.
 
Hata mimi simuelewi huyu mama.
Hivi haogopi kuwa mwanae atapata maradhi.
 
Aiseee..Bila shaka kuna wimbo mpya unakuja soon.
 
Labda vile dogo ndio boss (mambo ya fweza) so mama anakuwa....hewala baba...! Maana kikawaida kwa mila zetu ni matusi...
Na ni kwamba anawadinya humo humo...ha ha haaa. Kazi kwelikweli
 
dah, hapa mchizi kacheza kama pele,heshima yako mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…