Hamisa Mabeto,kifaa kipya cha Diamond pPatnumz

mmeanza mawivu yenu, hamisa ni mkaree mkubali mkatae huo ndo ukweli
 

Katika wanawake ninaowakubali hapa Jk land basi huyu anaongoza jamani kwa sasa..madam nilikuwa nampenda pale mwanzo nilipomuonaga ktk movie aliyoigiza na kanumba kana sikosei ilikuwa inaitwa Valentine nini sijui kabla hajaanza masuala ya mkorogo.
Ila nilipomuona huyu Hamisa ktk video ya Abdu kiba ile hatuna habari nao kisha ktk video ya Quick Rocka ft Ngwair (rip) ile my baby ndipo nilipojiridhisha na kile ambacho nilikuwa nakiwaza juu yake.
Shikamoo platinum kana kweli unadownload mzigo hapo japokuwa urijali haupimwi kwa kiwango ama idadi ya wanawake unaotembea nao.

"Nlikuwepo":bolt:
 
Afadhali wamekutana watoto wa Uswazi tupu, kama ni kuzinguana; kuzinguana tu!
 
Mie naishi kijijini saaana Jamani msinielewe vibaya kwa swali langu!!!!

HIVI DAWA YA UKIMWI ISHAPATIKANA HUKO MJINI???????

Mpaka ije dunia nyingine ndio dawa itapatikanaa
 
Umesema kweli. Japo wengine watasema ni wivu, wa kawaida na hapo karembwa. Si mrembo kivilee mpaka mtu ukosee njia.

Na wala hakuna wa kumuoneaa wivuu tunasema ukweli na makeup hua zina beba watu ni wa kawaida sema wanaume kwa kusifiaa hawajamboo
 
Na wala hakuna wa kumuoneaa wivuu tunasema ukweli na makeup hua zina beba watu ni wa kawaida sema wanaume kwa kusifiaa hawajamboo

Tunasifia ili tupate...
Na nyie si mnapenda kusifiwa!!

"Nlikuwepo":bolt:
 
MABETO.....MACHALI WA CHUGAAA MABETO KWETU NIMANANGAA,MA MKAMEMEE,MIBISUU AKA MAVISUU...so daidomo take care bradaa
 
Duh !Sihitaji tena dawa ya kuongeza nguvu za kiume, nlipoiangalia tu picha nikajihisi nimekuwa fiti kinoma! yaani nimerudi ujanani ghafla (ps!ps! nina miaka 70 na yale mambo yetu na wife kwa msimu, atanishangaaje leo?)
 
Nimeziona facebook ambazo hazijaphoto shopiwa za kawaida sana. Hizi za camera 360 hata usiziamini mwaya

Mnaogopa ban tu ingekua mko kwingine mngeshatukana misukule ya Wema!umeshawahi kumuona live huyo Hamisa?acha wivu mtoto mzuri sana na angalia wanaume wangapi kwenye hii thread wamemsifia,na sisi wanaume ndio tunajua mwanamke mzuri(kwa appearance) kuliko nyinyi wenyew
 
Duh !Sihitaji tena dawa ya kuongeza nguvu za kiume, nlipoiangalia tu picha nikajihisi nimekuwa fiti kinoma! yaani nimerudi ujanani ghafla (ps!ps! nina miaka 70 na yale mambo yetu na wife kwa msimu, atanishangaaje leo?)

JF kisima cha burudani...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…