Hamisa Mabeto,kifaa kipya cha Diamond pPatnumz



Haya bwana ruksa we tukana tu as far as matusi si mkuki, pia matusi huonesha ni jinsi gani umeishiwa hoja na malaya wako kubeto. ila ndo kazi ya kufikiria kwa kutumia athumani kichwa wazi.....mtu yeyote akiwa akiwa uchi lazima akili kwa wanaume ihame.
 
Kademu kazuri sana,kana kishepu balaa..sema nilikaona siku moja sikukafatilia kiivo ila kana uswahili fulani..Ni vile videmu ukikatengeneza kidogo unapiga
 
Daaaaaagh....huyu manze ni shidaaaaagh,ni hatareee ni balaaaaa
 

elewa nilichoandika acha jazba na wemania yako,nimemaanisha wewe ndo unaogopa ban kwa kutukana kama mnavyotukana kwenye blogs na IG sababu ya hao mastaa wenu,Hamisa mzuri Truth has to be told
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…