Binti Magufuli
JF-Expert Member
- Apr 2, 2011
- 7,479
- 5,157
Mnaogopa ban tu ingekua mko kwingine mngeshatukana misukule ya Wema!umeshawahi kumuona live huyo Hamisa?acha wivu mtoto mzuri sana na angalia wanaume wangapi kwenye hii thread wamemsifia,na sisi wanaume ndio tunajua mwanamke mzuri(kwa appearance) kuliko nyinyi wenyew
Haya bwana ruksa we tukana tu as far as matusi si mkuki, pia matusi huonesha ni jinsi gani umeishiwa hoja na malaya wako kubeto. ila ndo kazi ya kufikiria kwa kutumia athumani kichwa wazi.....mtu yeyote akiwa akiwa uchi lazima akili kwa wanaume ihame.