Hamisa Mabeto,kifaa kipya cha Diamond pPatnumz

Hamisa Mabeto,kifaa kipya cha Diamond pPatnumz

sunglass

Member
Joined
Jun 3, 2013
Posts
87
Reaction score
11
Diamond bado yuko katika ziara yake ya kitalii wa ndani katika mbuga za miili ya kina dada.
Kwa muda sasa nguli huyu asiye na mpinzani Afrika mashariki na anayeanza kugusa anga za magharibi mwa Afrika amekua na uhusiano na binti mwenye urembo wa ajabu ajulikanaye kama Hamisa aka Hamisa mabeto.

Habari za uhakika ni kwamba moyo wa Diamond umekufa umeoza kwa binti Hamisa ila kwa ajili ya kick za kibiashara Diamond anapenda watanzania wajue kuwa yuko na madam Wema Sepetu.

Habari kuwa Diamond haongi na ni bahili si za kweli kwani kijana amegharamika sana kwa binti Hamisa Mabeto ikiwa ni pamoja na kumpangishia binti huyo nyumba ya gharama.

Ujumbe wangu kwa Diamond,ukimwi upo na unaua.
 
Picha plizzzzzzz

JIMMCARTER.BLOGSPO.COM%2B%25282%2529.jpg
 
Wana kazi kina Penny,acha aufaidi ujana atasimulia nini wajukuu zakee
 
Diamond bado yuko katika
ziara yake ya kitalii wa ndani katika mbuga za miili ya kina dada.
Kwa muda sasa nguli huyu asiye na mpinzani Afrika mashariki na anayeanza
kugusa anga za magharibi mwa Afrika amekua na uhusiano na binti mwenye
urembo wa ajabu ajulikanaye kama Hamisa aka Hamisa mabeto.

Habari za uhakika ni kwamba moyo wa Diamond umekufa umeoza kwa binti
Hamisa ila kwa ajili ya kick za kibiashara Diamond anapenda watanzania
wajue kuwa yuko na madam Wema Sepetu.

Habari kuwa Diamond haongi na ni bahili si za kweli kwani kijana
amegharamika sana kwa binti Hamisa Mabeto ikiwa ni pamoja na
kumpangishia binti huyo nyumba ya gharama.

Ujumbe wangu kwa Diamond,ukimwi upo na unaua.

Yaan na nyie bila kumwandika Diamond cku inaganda kwenu eeeeh
 
kick kick kick kila kitu kick kila mtu anataka kick watoto wa kiume wanataka wapigwe kick wa kike wapigwe kick ili mradi wapate kick
 
Back
Top Bottom