Hamisa Mabeto na fahari ya kuzaa na mume wa mtu

Hakuna tofauti diamond alizaa na mwanamke wa mtu kama Hamisa alivyomfanyia zarina muosha huoshwa
 
Sema ameona fahari kuzaa na bwana wa mwanamke alieachikaga kwa mumewe
 
Sijaelewa hapa Hamisa mobeto ni nani...?
Na huyo mume alozaa nae ni nani...?
Tueleweshane hapo kwanza.

Kama huna unayemjua kati yao wote taarifa hii haikuhusu.

Kama mimi ambavyo hainihusu kwa hiyo naiangalia tu.
 
Zari kaolewa lini?
Yeye mbona aliibiwa bwana aliyezaa nae?

My own brand!!
 
Kwa ndoa ipi? hata uchumba bado unasema mke[emoji23][emoji23][emoji23] kwa hiyo unabishana na mond aliesema anajiandaa kwenda kujitambulisha kwa baba zari?

Shikamoo wabongo mnamjua mtu kuliko anavyojijua

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]

My own brand!!
 
Mwanamme ukimwona mwanamke mzuri ukampenda.
Then akakuambia mama yake Ni single mother, kimbia ufe. Single mother always watazaa single mother, chunguza unapoishi.
Muongooo...hizo ni chuki binafs!!

My own brand!!
 
dah..mademu hawanaga akili..kama wewe hapa..ndio maana sitakaa nioe kamwe....sasa funzo kivipi mtu kukaa mbali na mwenza wake kwa sababu za kutafuta kimaisha?

Alafu kama mimi ndio mond yule demu hamisa sio demu wa kuwa naye...ni wa kugonga tu ..kwa sababu akili hana alafu ni beki....hawezi msaidia chochote hata mawazo in life
 
Hayo watajua wao
 
Diamond Alioa tarehe gani vile?
 
Diamond Alioa tarehe gani vile?
Mimi nayaangalia maisha ya mtoto na maamuzi ya mama yake kumbuka Hamisa ni single mother na wala hajutii maamuzi aliyoyafanya kwa mtoto wake wa pili (babaless)
 
yaah hata mimi mwanaume kama wewe asingenifaa kutwa kuwafuatilia wakina hamissa mitandaoni maisha unawaza saa ngapi!! hayo mambo tuachie dada zenu!!
 
yaah hata mimi mwanaume kama wewe asingenifaa kutwa kuwafuatilia wakina hamissa mitandaoni maisha unawaza saa ngapi!! hayo mambo tuachie dada zenu!!
khaa sasa mi hata demu sitaki...so haina haja
mimi napiga wale wahaya wa buku 2 tu nimemaliza..afteral wewe na wahaya wale mnalingana tu..hakuna tofauti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…