makidoa
Member
- Sep 19, 2016
- 89
- 55
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijaelewa hapa Hamisa mobeto ni nani...?
Na huyo mume alozaa nae ni nani...?
Tueleweshane hapo kwanza.
Hahahahahahja mkuu umenichekeshaIshia hapo hapo!
Makatibu wakuu wapya wa jpmSijaelewa hapa Hamisa mobeto ni nani...?
Na huyo mume alozaa nae ni nani...?
Tueleweshane hapo kwanza.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Kwa ndoa ipi? hata uchumba bado unasema mke[emoji23][emoji23][emoji23] kwa hiyo unabishana na mond aliesema anajiandaa kwenda kujitambulisha kwa baba zari?
Shikamoo wabongo mnamjua mtu kuliko anavyojijua
Sent using Jamii Forums mobile app
Muongooo...hizo ni chuki binafs!!Mwanamme ukimwona mwanamke mzuri ukampenda.
Then akakuambia mama yake Ni single mother, kimbia ufe. Single mother always watazaa single mother, chunguza unapoishi.
dah..mademu hawanaga akili..kama wewe hapa..ndio maana sitakaa nioe kamwe....sasa funzo kivipi mtu kukaa mbali na mwenza wake kwa sababu za kutafuta kimaisha?Sikujua kama diamond kaoa ndiyo nimejua hapa, yaan kuzaa kwa hamissa kuna watu wanaumia mpaka basi!!
Hivi yeye ndiyo wa kwanza? Tena liwe funzo kwa wanawake wanaokaa mbali na wanaume zao
Mwanaume tanzania mke south alitegemea nini tena kwa mtu kama mond anaetazamwa na kina dada wengi!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hamisa ni mtu pia!Sijaelewa hapa Hamisa mobeto ni nani...?
Na huyo mume alozaa nae ni nani...?
Tueleweshane hapo kwanza.
Hayo watajua waoNimeamini ule usemi "adui wa mwanamke ni mwanamke mwenzake"
We jiulize ushawahi kumuona mwanaume anajisifia amezaa na mwanamke wa fulani?unajua kwa sababu gani ?simply ni aibu na inashusha utu wako
Njaa ni kitu kibaya sana utegemezi unafanya mtu adhalilike au kuna uhaba wa wanaume kiasi hiki?
Watu ambao wamekulia maisha ya single mother usim judge vibaya baba yako he might be innocent kama mambo yenyewe ndio haya
Diamond Alioa tarehe gani vile?Nimeamini ule usemi "adui wa mwanamke ni mwanamke mwenzake"
We jiulize ushawahi kumuona mwanaume anajisifia amezaa na mwanamke wa fulani?unajua kwa sababu gani ?simply ni aibu na inashusha utu wako
Njaa ni kitu kibaya sana utegemezi unafanya mtu adhalilike au kuna uhaba wa wanaume kiasi hiki?
Watu ambao wamekulia maisha ya single mother usim judge vibaya baba yako he might be innocent kama mambo yenyewe ndio haya
Binadamu kuliwa na simba ni habari ila binadamu kumla simba ni habari ya kusisimuaMbwa kumla paka siyo habari ila mbwa kumla mbwa ni habari kamili
yaah hata mimi mwanaume kama wewe asingenifaa kutwa kuwafuatilia wakina hamissa mitandaoni maisha unawaza saa ngapi!! hayo mambo tuachie dada zenu!!dah..mademu hawanaga akili..kama wewe hapa..ndio maana sitakaa nioe kamwe....sasa funzo kivipi mtu kukaa mbali na mwenza wake kwa sababu za kutafuta kimaisha?
Alafu kama mimi ndio mond yule demu hamisa sio demu wa kuwa naye...ni wa kugonga tu ..kwa sababu akili hana alafu ni beki....hawezi msaidia chochote hata mawazo in life
khaa sasa mi hata demu sitaki...so haina hajayaah hata mimi mwanaume kama wewe asingenifaa kutwa kuwafuatilia wakina hamissa mitandaoni maisha unawaza saa ngapi!! hayo mambo tuachie dada zenu!!