Hamisa Mabeto na fahari ya kuzaa na mume wa mtu

Mkuu nilikuwa nakucheki sana kwenye comments zako

kwenye mambo ya kiuchumi,sikufahamu kama na huku

kwenye trivial matters umo all in all its ok keep it on.
 
khaa sasa mi hata demu sitaki...so haina haja
mimi napiga wale wahaya wa buku 2 tu nimemaliza..afteral wewe na wahaya wale mnalingana tu..hakuna tofauti
ujanipanikisha bado, endelea labda utafanikiwa...ila punguza udada basi.....
 
Adui wa mwanamke ni mwanamke mwenzake hiyo jinsia hawapendani kama maji na mafuta kwenye moto
 
Iko hivii, kwanza alotoa huo ubuyu kwa mange ni mama mobeto peke yake, na ametoa kwa sabb kuu mbili . Ya kwanza . Mama diamond na esma walikua mstari wa mbele kumkuadia hamisa kwa diamond nia na lengo lao ni kumuuliza zari, na wakamuahidi hamisa kwamba watafanya juu chini zari aachike akae hamissa ( kama mnakumbuka kuna kipindi zari na mkwe wake na wifi yake walikua hawana maelewano mazuri kabisaa) ndio kipindi ambacho hawa wawili walikua wanafanya yao. Shida ilikuja baada ya hamisa kujifungua na wawili hao kua shinikizo kubwa la ndugu yao kukataa mimba. Na wamekataa baada ya kugundua hamisa na mama yake walikua mstari wa mbele kushirikiana kumchuna patric na mond ndio maana wakaamua kuikataa mimba. Sasa mama mobeto akaona mwane kaoneowa yaan wamemchezea afu wamemuacha hapo mwanae bila chochote. Ndio wakaanza sasa kuchafua hali ya hewa kwa kupost mtt, mara wabadili majina na mambo mengine kibaoo. . Sababu ya pili . Mama mobeto na mama dai waligombana tena na sabb kubwa ilikua huyo bwana wanedai kamuoa bi sadra, huyo bwana hajamuoa ila wapo pamoja. Ila mama mobeto kamwaga sabb kaona katolewa nje afu bi sandra anakula maisha. Hili bifu lipo kwenye hizi familia mbili, na haya mambo wameyaunda wenyewe saivi yanawageuka, tena yanawageuka vibaya sabb walikua wanamfanyia ubaya mtu ambaye anawafanyia mema
 
Hater!
Ungetaja jina la huyo mume wa mtu ningekuona wa maana sana.
Hapo ulitakiwa ulaani zinaa tu lakini sio kwa kuzaa na mume wa mtu ambae umeshindwa kumtaja
 
Hater!
Ungetaja jina la huyo mume wa mtu ningekuona wa maana sana.
Hapo ulitakiwa ulaani zinaa tu lakini sio kwa kuzaa na mume wa mtu ambae umeshindwa kumtaja
Poa huo ni mtazamo wako lakini kwenye andiko liko clear about pandora box
 
[QUOTE="Numbisa, post: 23042163, member: 403420" patric na mond [/QUOTE] Hivi unajua Patrick kaachana muda sana na Hamissa na source ilikua Patty anaombwa sana hela huku bibie anaendelea na mond...Patty akawa anamuambia Missa amuache mond maana yeye ndiyo anahudumia kuliko mond lakini bidada jibu likawa anampenda mond hawezi kumuacha na mapenzi yao yakaishia hapo.

Sema hamissa sijui kwanini akutulia na Patty, wakati alikua anapendwa sana
 
MADADA KUZAA WATOTO HUKU BABA ZAO TOFAUTI TOFAUTI IMEKUWA FASHION
Fashion wapi ndugu yangu?? Kila mwanamke anataka awe na mumewe bwana, hao wadada mara nginyi tabia zinawashinda wanaumeeee
 
Mume wa mtu ni yupi maana majay hakuoa na huyu dogo wala hajaoa

sent from my iPhone 7 nimeinunua SAPNA pale Posta mtaa SAMORA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…