adden
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 7,033
- 15,638
kweli mtu akikwambia una mambo ya kike afu kidume bora uue tuu tu hiyo mtu
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ujanipanikisha bado, endelea labda utafanikiwa...ila punguza udada basi.....khaa sasa mi hata demu sitaki...so haina haja
mimi napiga wale wahaya wa buku 2 tu nimemaliza..afteral wewe na wahaya wale mnalingana tu..hakuna tofauti
Sio fashion ni FASHOOON.[emoji2]MADADA KUZAA WATOTO HUKU BABA ZAO TOFAUTI TOFAUTI IMEKUWA FASHION
Hater!Nimeamini ule usemi "adui wa mwanamke ni mwanamke mwenzake"
We jiulize ushawahi kumuona mwanaume anajisifia amezaa na mwanamke wa fulani?unajua kwa sababu gani ?simply ni aibu na inashusha utu wako
Njaa ni kitu kibaya sana utegemezi unafanya mtu adhalilike au kuna uhaba wa wanaume kiasi hiki?
Watu ambao wamekulia maisha ya single mother usim judge vibaya baba yako he might be innocent kama mambo yenyewe ndio haya
NB:
Hamisa ni mama mwenye mtoto mmoja tayari (single mother) kabla hajafanya maamuzi yakuzaa mtoto huyu mwingine (babaless)
A mistake is made once ukirudia inakua choice ,my focus ni kwa mtoto ambaye ni victim wa decision za wazazi (pandora box)
Poa huo ni mtazamo wako lakini kwenye andiko liko clear about pandora boxHater!
Ungetaja jina la huyo mume wa mtu ningekuona wa maana sana.
Hapo ulitakiwa ulaani zinaa tu lakini sio kwa kuzaa na mume wa mtu ambae umeshindwa kumtaja
Fashion wapi ndugu yangu?? Kila mwanamke anataka awe na mumewe bwana, hao wadada mara nginyi tabia zinawashinda wanaumeeeeMADADA KUZAA WATOTO HUKU BABA ZAO TOFAUTI TOFAUTI IMEKUWA FASHION